Mmeamliza kumchambua Bi Maghimbi ,huyo ni mwanasheria tena anaijua sheria vilivyo,as far as kuichunguza picha naona ni poor edited with more makosa ,kwa wale wenye utaalamu wa editing wanaweza kuona tofauti mara moja.
Nikiwasaidia kuwaondoa huko mlikoburuzwa.
Itazame rangi nyekundu ya kiti cha pili ambacho anaonekana kuweka miguu ,jinsi rangi ile ilivyooenea, na kupitiliza kwa mguu wake wa kulia na kukifanya mhusika aonekane ametoboa sehemu za pembeni za kiti , itazame sehemu ya chini kwenye mkono unaoning'inia utaona rangi nyekundu imeendela pale chini ya frame kilichotakiwa kwenye mkono ule na chini ya fremu ya kiti paonekane rangi ya mabao fomeka za deski lililopo na rangi nyeusi inayoshuka chini.
Zaidi utazame mguu wa kushoto ambao unyayo umeonekana vizuri sana ila ukiufatilia mguu utaona rangi ya kivuli cha meza imeendelezwa na kupakwa hadi kwenye kisigini na kugusa fremu ya kiti kwa mbaali.
Kama haitoshi ukijaribu kufuatilia urefu wa magoti utashangaa huyu mwanamke wa watu amekaa vipi miguu na nyayo zinaonekana floating without any support na goti limezidi kwa ndani kuipita frame kama aliekunja miguu lakini haionyeshi kama amekunja miguu ,labda utasema anafanya mazoezi.
Clue kubwa ambayo inaonyesha ni red colour kwenye mguu wakulia ambayo imevuka mipaka ya kiti na kupakazwa kwenye kuta za dawati ,hadi baina ya mguu wa kulia na wa kushoto kwa juu.
Huyu Bibi anaweza kupata mamilioni kwa kulishitaki gazeti lilomzalilisha ,maana mambu mingine ni ya kujitakia.