Je Warusi wamekosa uzalendo?

Amani ni muhimu sana hivyo tulinde amani iliyopo hapa nchini kwetu
 
Amani ni muhimu sana hivyo tulinde amani iliyopo hapa nchini kwetu
Mbona unafananisha vitu ambavyo havifanani?

Hapa kwetu kuna uvunjifu wa haki unaofanywa na serikali wakati Urusi wananchi wanapinga kitendo cha Rais wao kuamuru jeshi lao kuvamia jirani yake nchi huru ya Ukraine.
 
Urusi imeshindwa vita , Aibu kweli yaani !

Mwana kulitaka Mwana kulipata
 
Source?
 
Radio Deutsche Welle kipindi cha dunia yetu leo jioni.

Nakushauri na wewe uwe unapata current affairs kutoka radio za kimataifa usibaki nyuma kama mkia!
Sakata la Russia vs Ukraine Deutsche Welle hawako neutral wako biased sana na wanatumia chombo chao kwa propaganda kama ilivyo vyombo vyote vya magharibi na hata hata Russia na wanaowaunga mkono vyombo vyao havipo neutral pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…