Je Warusi wamekosa uzalendo?

Sakata la Russia vs Ukraine Deutsche Welle hawako neutral wako biased sana na wanatumia chombo chao kwa propaganda kama ilivyo vyombo vyote vya magharibi na hata hata Russia na wanaowaunga mkono vyombo vyao havipo neutral pia.
BBC, Al Jazeera na CGTN wote wametoa taarifa zinazofanana!

Tatizo Timu Putin hawaamini kinachotokea!

Poleni sana!
 
Huenda huu ndiyo ukawa mwisho wa enzi ya utawala wa Jasusi Putin.
This time around he got it wrong! Alipopora Crimea, dunia haikupiga kelele sana. Akanogewa. Akataka kuendelea kujimegea Ukraine kadiri atakavyo. Sasa anaonja joto la jiwe.
 
Mjinga sana...watoto wa watu wanapukutika yeye kabana kimyaa....anawasongesha tu....
Watazaliwa wengine usijali MKUU
Kwanza hata kama sababu sio hii SVO wangekufa tuuu
Jana kuna shirika moja la kimataifa limedai kwamba duniani kila baada ya sekunde 4 anakufa mtu mmoja kwakukoa chakula(njaa)
Sasa c bora wende wakafilie zao huko kwenye SVO wakitetea kuulinda na kuupignia usalama wa taifa lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si unajua kichaa akishafikia mahali akaona anaaibika anaona bora tufe wote

Mimi nina wasiwasi Putin atatumia nuclear kama karata zake zote zikimuishia
Kama atatumia shida iko wapi MKUU
PUT IN hata kaa atumie NYUK sababu anaakili kamili
DUNINI mjinga mmoj tu ndio aliweza tumia NYUK baada ya kuona anaenda kupoteza!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro Bei ya tiketi imepanda mara Tisa mpk hivi sasa
 
Na kuna senior mmoja serikalini kaonya ikiendelea hivi watafunga mipaka kabisa wanaume wasitoroke kwa barabara. Na zaidi ya watu 800 wamekamatwa kwa kuandamana kupinga mobilization
Hio ya kufunga mipaka sijalisikia ila hili lakukamatwa nimelisikia ingawaje sijasikia kama watu 800
Ila watu 800 kwenye watu zaidi ya 100+M niwazi kua wengi wanasapoti mobi
Mwisho hakuna kinachokubaliwa na wote MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…