Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nikafanye nini mzeeTena ww ndo inatakiwa uwe mstari wa mbele
HahahahaNikafanye nini mzee
Mie aniache achukue wa RUSSIA mie naisapoti ila sina mpango wakupigana mzee[emoji16]
Hata kule kwetu wakipigana nikiwa nipo kwao nawakimbiaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjapan alimpiga nyumbani kabisa, mzee baba akaona isiwe tabu , akadondosha nuclear na mjapan akaacha kupigana, sahivi wakipigana atakutana na mtu ambae na yeye anaweza kumpiga kwake kwa namna nyingi (vikwazo vinawapiga wao)Kama atatumia shida iko wapi MKUU
PUT IN hata kaa atumie NYUK sababu anaakili kamili
DUNINI mjinga mmoj tu ndio aliweza tumia NYUK baada ya kuona anaenda kupoteza!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tumuone juto mjukuuuHata hivyo NATO imemkebehi Putin kuwa alifanya vibaya hesabu zake kwa kuivamia Ukraine na kwamba atajutia uamuzi wake.[emoji3064][emoji2955][emoji3064]
[emoji3][emoji3] ndege muoga hukunja mbawa zake na kusalimikaNikafanye nini mzee
Mie aniache achukue wa RUSSIA mie naisapoti ila sina mpango wakupigana mzee[emoji16]
Hata kule kwetu wakipigana nikiwa nipo kwao nawakimbiaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
operesheni bado mbichi kabisa na Russia hayupo tayari kushindwa.Putin ameshaingia kwenye 18 hapa anaviziwa mchina tu.
Umesahau ya IRAQ na libya ?Huyu mhuni natamani achakazwe mpk nyodo zake zipungue. Ameua watu wasiokuwa na hatia huko Ukraine..
Warusi sio wajinga hawawezi achia huu ujinga kwamba Putin atumie makombora ya nukes ili na wao wauwawe.Akiachia na wao wanaachia
Hata warusi wenzake wanamviziaPutin ameshaingia kwenye 18 hapa anaviziwa mchina tu.
We unaona sawa marekani akubali nchi yake ipigwe nuclear kwaajili ya kuitetea ukrein viongozi watakuwa na utindio wa ubongo mzozo huu kilichobakia itumike democrasia kumalizaHiyo nuclear anayo peke yake?
Sahihi kabisa , ni ngumu U.S.A kukubali hiyo hali itokee nchini mwake.We unaona sawa marekani akubali nchi yake ipigwe nuclear kwaajili ya kuitetea ukrein viongozi watakuwa na utindio wa ubongo mzozo huu kilichobakia itumike democrasia kumaliza
Unadhani US hana nuclear? hahaha, hata itokee nini Russia hawezi hata kujaribu kuilenga marekani kwa nuclear, sema tu wao uhamasisha kustop mashambulizi yanayohusisha nuclear weapons, ni mbwembwe za putin, soon mtaona wanakaa mezani na kuyamaliza na hatoichukua ukraine.We unaona sawa marekani akubali nchi yake ipigwe nuclear kwaajili ya kuitetea ukrein viongozi watakuwa na utindio wa ubongo mzozo huu kilichobakia itumike democrasia kumaliza
Kweli ushabiki huleta upofu! Kuona huwezi sasa hata kusikia ni tatizo?Msichokijua kuwa putin anawachezea west mind game kwenye nukes narudia hakuna nchi yoyote siyo ulaya wala marekani mwenye uwezo wà kuthubutu kuingia direct ukraine kupambana na russia hakuna kiongozi atakayekubali nchi yake kuwa majivu kwa ajili ya ukraine
Sasa mbona hueleweki unasema akitumia hakuna shida ila unasema tena hatakaa atumie sababu ana akili kamiliKama atatumia shida iko wapi MKUU
PUT IN hata kaa atumie NYUK sababu anaakili kamili
DUNINI mjinga mmoj tu ndio aliweza tumia NYUK baada ya kuona anaenda kupoteza!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukraine yenyewe inamamtosha, kama ameshindwa kuigeuza majivu jirani yake mdogo ndio ataweza NATO nzima?Msichokijua kuwa putin anawachezea west mind game kwenye nukes narudia hakuna nchi yoyote siyo ulaya wala marekani mwenye uwezo wà kuthubutu kuingia direct ukraine kupambana na russia hakuna kiongozi atakayekubali nchi yake kuwa majivu kwa ajili ya ukraine