Je Warusi wamekosa uzalendo?

.

Watu washaanza kujitokeza kwa wingi,habari za kukimbia ni propaganda za magharibi
 
Kwanini hawezi ni swala la kubonyeza kidude chekundu Tu.
 
Si unajua kichaa akishafikia mahali akaona anaaibika anaona bora tufe wote

Mimi nina wasiwasi Putin atatumia nuclear kama karata zake zote zikimuishia

Yule mweu wammalize haraka kabla hajajiua na kuwauwa wengine.
 
Sakata la Russia vs Ukraine Deutsche Welle hawako neutral wako biased sana na wanatumia chombo chao kwa propaganda kama ilivyo vyombo vyote vya magharibi na hata hata Russia na wanaowaunga mkono vyombo vyao havipo neutral pia.

Ni ukweli wanakimbia. Tiketi za uturuki zimejaa. Watu wanakimbia, maana yule mwehu wamemwachia nchi afe mwenyewe.
 
putin ni kanumba mpya ss kitkacho mkuta Ukraine
putin mtu kazi anakagaw dozi km kachukuliwa mke wake na Ukraine
 

Yani urusi arushe nuclear Marekani halafu marekani amuache tu?. Tena bahati mbaya URUSI sehemu ya maana ni Moscow pekee.
 
putin ni kanumba mpya ss kitkacho mkuta Ukraine

putin mtu kazi anakagaw dozi km kachukuliwa mke wake na Ukraine

Ameshindwa kugawa mpaka amekimbia ndio aje agawe Tena . Kutoka siku tatu Hadi kukimbia ni aibu Sana. Aliidharau Ukraine Sasa yamemtokea puani.
 
Hata mimi nawaunga mkono. Putin aende mwenyewe vitani🤣
 
We unaona sawa marekani akubali nchi yake ipigwe nuclear kwaajili ya kuitetea ukrein viongozi watakuwa na utindio wa ubongo mzozo huu kilichobakia itumike democrasia kumaliza
Mmh! Hapa ndio sielewi.

Vita ni Urusi na Ukraine, ila ikifika kwenye nuclear anapigwa Marekani! Hii imekaaje?
 
Wale warussi wa buza, mikoroshini, forest, sabasaba, mazimbu, kihonda, engutoto, mianzini, sanawari sasa ni wazi mnakaribishwa Russia
 
[emoji298]FLASH #Russia [emoji635]: En Tchétchénie, les hommes aptes à la mobilisation décrétée par le PDT #VladimirPutin se ruent dans les bureaux d'enregistrement et d'enrôlement militaire.
#Donbass #Chechnya #Crimea #Kharkov #Kharkiv #Kherson #Zaporizhzhia #Donestk #Kupyansk #Lugansk #Odessa https://t.co/EcbnL5GzA6.

Nyie mnapiga umbea huko URUSI idadi iliyojitokeza kwa siku ya leo tu inafika watu elfu 20
 
Kauri ya NATO ipo sahihi, ila inachochea zaidi hasira ya blaza Putin, ko hapa wakizidi kumchokonoa ipo siku ataachia nuclear kweli maana hajaanza leo kutoa tishio hilo. Acha iendelee kunyesha tuone panapo vuja😎😎😎
Hawezi tumia nukes au sumu, maana marafiki zake watajitenga naye...
 
Wanadai decree inasema mobilization itahusisha hadi watu 1mil...

Wanafunzi nao watasukumiwa humo ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…