Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Mie kamkono kwangu kepesi mno!Hapana Mama Kayumba.
Ni vile tu mtoto unamlea tangu mwanzo, mimi na mwanangu, tutacheza, tutataniana lakini kuna sura flani nikiiweka, ni heshima nyumba nzima mpaka mama yao.
Hata mama yao akikosea, onyo huwa anapewa mbele yao(sio kila kesi) na huwa anaufyata kimyaaaa
Ukikosea zaidi ni adhabu ila sio kunyanyua mkono kukupiga.
Kuna njia nyingi sana za kumuadhibu mtoto, hata mama yao pia unaeza kumuadhibu vile vile ila sio kupiga
Hiyo inawajenga watoto kuwa na heshima.
Mimi mjomba wangu alikuwa ananikanda, watoto wake hakuwakanda yamekuwa ya ovyo!Anawaambia muwe kama huyu binamu yanu,hayana Adabu kabisa,namuuliza kwa Nini hukuwakanda,anabaki Kutoa macho tuuNo mkuu nmetolea mfano tu , mmonyoko wa maadili ni mkubwa sana kwa wenzetu tofauti kabisa na kwetu , pia hata wao wanapenda sana jinsi sisi tulivyo naongea kitu ninachokijua na sio nilichosikia mkuu .
Huwa nachukizwa sana nikiona hata Punda anapewa mapigo.Mtoto usimnyime mapigo
Walimu pia ni walezi, wanakaana watoto muda mwingi shuleniAhsante Sana kwa mada yako. Ndiyo Iko x usiku kucha jana na inaendelea.
Naongezea; tuna wazee wengi hawatunzwi na watoto wao waliowachapq Sana kwa madai ya kuwatengeneza. Je hii siyo MOJAWAPO ya athari ya mpasuko wa mahusiano ya watoto na Wazee ? Kwamba nguvu kubwa ilitumika kuumiza mwili badala ya ku transform akili ya ndani ya mtoto? Sasa mtoto kawa mkubwa, Tabia zake zilizokandamizwa kwa hofu ya kipigo, sasa zinaanza kushamiri na kumea maana hakuna wa kumpiga tena?
Nini maoni yenu?
MinTakwimu zipi na nikupatie za kazi gani? Sijaelewa mkuu
Kina junia hawachapwi ,hawachewi kutoka kavaa nguo ya ndani ya mama yake kichwani , mbele ya wageni sebuleni 😁😁Mimi mjomba wangu alikuwa ananikanda, watoto wake hakuwakanda yamekuwa ya ovyo!Anawaambia muwe kama huyu binamu yanu,hayana Adabu kabisa,namuuliza kwa Nini hukuwakanda,anabaki Kutoa macho tuu
Zaman zetu tulikua tunachapwa hata na jirani ukikosea , hilo wewe kwa kipindi cha sasa umeliona? Na vip kuhusu maadili ya sasa ?Min
Ulisema hivi “Hata hawa watoto wa miaka ya 2000 wengi wao hawakupitia viboko , je umeona tofauti yoyote kimaadili?”
rejea sasa swali nililokuuliza.
Hapo kwenye kuvunja vyombo ni kweli tushapigwa sn.Sijawahi kuwapiga watoto wangu kwa sababu nimepigwa sana na ninaona kuna wakati nilikuwa napigwa hata nikitoka kucheza mpira
Hayo walikuwa wanafanya wazazi kudhani kuwa tutakuwa na nidhamu
Ila wengi waliharibika mpaka kuwa nunda, hata mimi nina watoto wakubwa na wengine wamemaliza vyuo ila wananipa heshima ya hali ya juu na upendo juu
Sina mtoto mwizi wala muongo kwa sababu nimewafundisha kama nilivyofundishwa ila bila fimbo
Najua kuna wazazi humu wanaona kupiga ni njia rahisi ya kumnyamazisha mtoto
Jamani hata mbuzi wadogo huwa wanakimbia kimbia wakiwa wadogo
Watoto wakicheza tushukuru Mungu wana afya njema na wanahitaji michezo
Kuna mwanangu alivunja kikombe alishtuka sana nikamwambia kaa mbali na hapo na ni ajali usijali
Sasa ukute mwingine atapigwa siku nzima na hata baadae haombwi msamaha kwa hasira za kijinga
Kikombe tu unamtoa mpaka damu mtoto daa
Wanangu wanalala wakiwa na furaha na lazima nihakikishe hilo
Na wakitoka shule ni kuwapokea kwa heshima bila maswali mengi hujui wamepata nini huko shule na pia wamechoka
Nakuomba uwaelimishe sana wanaopiga badala ya kuwa karibu na kuwafundisha
Yaani hapo umesema kweli kabisaHapo kwenye kuvunja vyombo ni kweli tushapigwa sn.
Mie kwangu marufuku kutumia vyombo vya plastic kwa wtt kulia chakula eti kisa vya kigae watavunja. Kuna mtu aliniambia kuwa vyombo navyo vina roho vikifika siku yake vinakufa. Napia kutumia vyombo vya kigae kwa wtt vinawafundisha Kuwa na tahadhari wkt wa kuvitumia.
Mie mtt wangu wa miaka 6 anaosha chombo chake bila waswas
Ushoga ulikuja na sura kama hii ya hakiKupiga mtu yeyote yule(hasa asie na uwezo wa kukurudishia) ni hatua ya juu kabisa ya uonevu.
Jiulize, wewe ukikosea, ni nani huwa anakupiga?
Hii Wala sio hoja yenye nguvu ya kupinga matumizi ya viboko, japo wewe unaweza ukawa unajiona umewaza sana.Jiulize, wewe ukikosea, ni nani huwa anakupiga?
Mithal 22:15, asili ya malezi ya kiafrika yaheshimiwe, traditional education kabla ya kuja kwa wazungu ilizalisha jamii yenye maadili, productive na ya kizalendo, mambo yamekuja kubadilika baada ya kudharau taratibu zetu na kukumbatia mila na desturi za wazungu.Neno pekee ambalo waafrica wamelielewa kwenye biblia, na wanalitendea kazi ni " usimnyime mtoto mapigo"
Jina lako tu ni mnyenzi ina maana ni mshenzi nyinyi ndio wapotoshaji wakubwa wa maadili shenzi kama jina lakoKupiga mtu yeyote yule(hasa asie na uwezo wa kukurudishia) ni hatua ya juu kabisa ya uonevu.
Jiulize, wewe ukikosea, ni nani huwa anakupiga?
Hawa wabongo wanaokopi malezi ya wazungu ni kama wendowazimu.Eti wazungu wakikosea mtu hachapwi wakati huo huo kuna majimbo Marekani mpka mwaka huu bado mtu akikosa ANANYONGWA… kwanini ananyongwa sasa? Si aitwe aelekezwe taratiiibu?
😄 🤣Jina lako tu ni mnyenzi ina maana ni mshenzi nyinyi ndio wapotoshaji wakubwa wa maadili shenzi kama jina lako
Katika malezi tunatakiwa tukumbuke hao Watoto tunaolea ndio wakubwa wa baadae, sio sanamu wala robot.😁😁😁😁😁😁shida ni moja tunaishi kwa mazoea maana unaweza mlea mtoto bila shouting wala viboko na akawa mtoto mwema ila akitoka nje ya imaa anakutana na waliomzungua na wanakua nje ya maadili
so hapo hapo ndipo viboko vimatake place kwa sababu kuna vinimambo ame adapt outside