Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao

Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa hasa HIV kwa haya wanayofanya

 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Hawa ndiyo wasanii wanaosaidia CCM kubaki madarakani hawawezi kuguswa
 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
najaribu kucheki HIV iko upande gani haop gentleman :NoGodNo:
 
Duh ngoja niende benki lazima nikaangalie kama nina salio la kutosha lazima niende huko kama kufa nikafie huko ,kama umasikini kunimaliza ukanimalizie huko siwezi tena kubaki nyumbani ,duh Dar es Salam raha jamani
Hakika man ... Hakikisha tu kama Salio lipo uinunue starehe uipendayo . Maana maisha ni mafupi
NB. Mungu hakutuumba kuja kuteseka bali kustarehe😎😎😎😎📌📍🔨
 
Asalamaleko!
20251214_073413.jpg
 
Back
Top Bottom