princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Ndio wawe wanaulizaUsisahau kuna wengine wa mikoani nje ya Dar au hawana interest na lifestyle za kwenda huko samaki samaki au wavuvi kempu.
Ndio wawe wanaulizaUsisahau kuna wengine wa mikoani nje ya Dar au hawana interest na lifestyle za kwenda huko samaki samaki au wavuvi kempu.
Mimi ndiyo maana nikitukana mmoja wao then mtu akaniambia huyo nae ni kama mama yako na yeye huwa nampa kubwa vile vile akahangaike nalo.Daaaah ila sisi wanawake!!!🙆♂️🙆♂️🙆♂️