Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,440
Halafu wanasema wanaume wanawadhalilisha kumbe wanajidhalilisha wenyewe. Hao ndio wale wakiona wanakosa wanaume wa kuwaoa wanamkimbilia tapeli wa kawe awauzie mafuta na udongo.
Kuna asiemjua Kalito 😅😅 au nyi wenzetu huwa mnaishi wapimmiliki wa WK ukute ni mtu wa oman na hao waliokuwa wanakata mauno ni kina mwafulani.
Kheri yako umeliona hilo. Hao ma dance ni matapeli tu hakuna la maana kabisa.Hao wadada wanafanya nn hapo, kama ni kucheza bc wamekula pesa ya bure tuu hapo
hali inatisha sana. Mungu asaidie matumbo ya uzazo wetu na watoto wetu hali mbaya sio Kwa watoto wa kiume Wala wa kike . Hali mbaya sana, wazazi inabidi tuwe wakali sana tuishi na Hawa gen z kikoloni ndio pona yaoDaaaah ila sisi wanawake!!!🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kilichokosewa ni kuletwa tu mtandaoni maana hii dar kama hilo analiona kubwa. Bhasi azame kwenye starehe za uswazi ambapo watu wanacheza kama walivyozaliwa, na wengine njiani wanasaula.Sasa hapo kuna nini cha ajabu? Wapo kwenye club, eneo la baharini,wamevaa mavazi ya kuogelea wanacheza mziki shida iko wapi? Labda wangekuwa wanacheza barabarani au kwenye uwanja wa shule.
Mkuu unaweza shangaa hapo kuna wake za mtu. Sitetei ujinga ila mbona mengi ni ya kawaida, kuna wake za watu wanajiuza mitandaoni na wengine wapo uwanja wa fisi, kimboka na sehemu zingine..Halafu wanasema wanaume wanawadhalilisha kumbe wanajidhalilisha wenyewe. Hao ndio wale wakiona wanakosa wanaume wa kuwaoa wanamkimbilia tapeli wa kawe awauzie mafuta na udongo.
Ah come on lady. Wengi tu hawamjui. Wanaomjua ni wale wahudhuriaji wa joints zake na jamaa zake.Kuna asiemjua Kalito 😅😅 au nyi wenzetu huwa mnaishi wapi
Jibu lake ndo limenichosha! Et atakua mtu huko wa Oman😅😅Ah come on lady. Wengi tu hawamjui. Wanaomjua ni wale wahudhuriaji wa joints zake na jamaa zake.
Acha ushamba weweJamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao
Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa hasa HIV kwa haya wanayofanya
View attachment 3519503
Usisahau kuna wengine wa mikoani nje ya Dar au hawana interest na lifestyle za kwenda huko samaki samaki au wavuvi kempu.Jibu lake ndo limenichosha! Et atakua mtu huko wa Oman😅😅
vijana wawe wanafanya japo research huu muda wangekua wanapita pita hata huko samaki samaki wakatakasa Macho ili maisha yakianza @ 40 akili iwe imesimama wasivuke stage za maisha.
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao
Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa hasa HIV kwa haya wanayofanya
View attachment 3519503