Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Zambi ilianzia kwa mwanamke, lakini ndio mama zetu, dada zetu na wake zetu.
Twende hivyo hivyo maadam tumeamua kuchua kila kitu bila kujali ni kizuri au kibaya.

Kwa usenge huu bora stars watandikwe tu.
 
Mtoto wa kike hatakiwi kuondoka nyumbani kama bado hajaolewa hayo ndio matokeo yake
 
Mpaka muda huu sijaifungua hio video

Ni kwa ajiri ya afya yangu ya akili!
 
Kumbe ndio kuna mambo mazuri hivi. Naelekea huko.

Asante sana muazisha thread kwa tangazo mujarabu.
 
Wamejifunika uso lkn nimewatambua wawili, madancer wa nyimbo za wasanii
 
Acha watu wale raha wewe...tafuta pesa na wewe ule raha ..
Kama hiyo ndio kula raha, inawezekana wewe ni mmojawapo wa hao mabinti hapo.

Mbona hakuna la maana linalofanyika hapo. Endelea kutikisa tako lako ukiamini ndio kula raha za dunia. 😂😂😂😂😂
 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Dunia tambara bovu.
 
Sasa hapo kuna nini cha ajabu? Wapo kwenye club, eneo la baharini,wamevaa mavazi ya kuogelea wanacheza mziki shida iko wapi? Labda wangekuwa wanacheza barabarani au kwenye uwanja wa shule.
Mkuu wale baikoko kigoma Cha Uruguay wanavuaga nguo barabarani uchi wa mnyama KABISA hameni HUKO ushuani njooni uswazi
 
Acha ushamba hao ni watu wazima, kwanza umefata nini huko?
 
Back
Top Bottom