MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Madongo hayo π€«πππππ Kula raha mzee ...achana na waandamanaji ππππ
Madongo hayo π€«πππππ Kula raha mzee ...achana na waandamanaji ππππ
Mwanangu yupo dar huko....dar yenyewe sasa yΓ moto hatarii....π€£π€£π€£Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Ila Menemene π πDuh ngoja niende benki lazima nikaangalie kama nina salio la kutosha lazima niende huko kama kufa nikafie huko ,kama umasikini kunimaliza ukanimalizie huko siwezi tena kubaki nyumbani ,duh Dar es Salam raha jamani
Kumalija UKONGA si palishafungwa kitambo?Ukistaajabu ya wavuvi camp utayaona ya Kumalija
Na nzi kufia kidondani ndiyo mwake, kajilipue mkuu maisha yenyewe mafupi haya ponda mali kufa kwaja.Duh ngoja niende benki lazima nikaangalie kama nina salio la kutosha lazima niende huko kama kufa nikafie huko ,kama umasikini kunimaliza ukanimalizie huko siwezi tena kubaki nyumbani ,duh Dar es Salam raha jamani
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Hivi ni vitendea kazi vya CCM, maana wakitaka kukutumia wanakuvua utu wako kwanza kisha wakufanye watakavyo.Aliyewafikisha hapo ni CCM tu ndiyo wakulaumiwa..
Kumbe udhaifu wako ni wanawake.Nilipoona profile yako umeweka picha ya Tundulisu nikajua siyo mwepesi wa kuwa dhaifuKama ni tangazo umefanikiwa. Natimba hapo mkesha kusafisha macho. Nitasimulia nini uzeeni
Yap! Palikuaga hatari sheikhKumalija UKONGA si palishafungwa kitambo?
Wanasaidia kupunguza stress kwa watawala batiliJamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Hawa lazima watakuwa na mkono wa CCM sio bure. Ndizo ajira zenyewe ambazo serikali ya CCM imebuni.Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
CCM ni hatari sana na mabingwa wa ushindi wa figisu.si wazitumie sasa huko washinde mechi??! Na walete Kombe huku.Mie M Tanzania ila Timu yangu ni Nigeria - Ndege Tai- kama ni kesi ya uhaini wanipe tu sitishiki na sibadiliki.Hivi ni vitendea kazi vya CCM, maana wakitaka kukutumia wanakuvua utu wako kwanza kisha wakufanye watakavyo.
Taifa Stars ikifungwa huwa nafarijka sana. Nilikuwa mshabiki wa Simba lakini kutoka na kuwa CCM imezitumia timu za Simba na Yanga kama limbwata la kuwapumbaza Watanganyika nimezichukia zote Simba na Yanga, bora kushabikia timu za mbele huko kuliko kuisaidia CCM kudumaza fikra za Watanganyika.CCM ni hatari sana na mabingwa wa ushindi wa figisu.si wazitumie sasa huko washinde mechi??! Na walete Kombe huku.Mie M Tanzania ila Timu yangu ni Nigeria - Ndege Tai- kama ni kesi ya uhaini wanipe tu sitishiki na sibadiliki.