Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Hapo kibaya nini? Wanaoingia humo ni watu wazima na wanaingia kwa hiari yao wenyewe wewe nini kinakuuma? Hapo wa kulaumiwa ni nyie mnaorekodi na kurusha hizi video zinafikia hadi wasio wahusika. Siku ukienda strip club si utachanganyikiwa wewe. Tafuta hela ule mema ya nchi bwana mdogo.
Ushamaba mzigo, si Baki nyumbani ulale kwa nini mnaenda kuharibu starehe za watu
 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Tatizo wasichana wenyewe hawana matako, wangekuwa na matako ya haja yanayotetema wangenishawishi na mimi nikaenda wikend hii tena tungewakusanya na rafiki zangu tukaenda kushangaa misambwanda.
 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Ila hapo si ni beach mkuu...

Beach mbona tunaenda watu wamevaa bikini au kwa kuwa wao hawachezi mziki..😀😀
 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Sasa hapo aibu iko wapi? Chawa wa mama hao hawana baya.
 
Hao wadada wanafanya nn hapo, kama ni kucheza bc wamekula pesa ya bure tuu hapo
 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Halafu Jumapili kanisani hawa wadudu unawakuta wanaimba mapambio hatari na Bwana asifiwe juu.

Ijumaa msikitini unawakuta na mabaibui kama maninja na gloves hawataki kugusana eti udhu, kumbe najisi mtupu.
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
 
mmiliki wa WK ukute ni mtu wa oman na hao waliokuwa wanakata mauno ni kina mwafulani.
 
Na alipewa Onyo huyo mzungu-mmasai kitambo alikua dalali wa malaya tu huko obay, kwa hiyo ni kazi yake usishangae sasa ana biashara kubwa tu na sijui hata hela alipata wapi huyu muomba bia leo tajiri anafanya ujinga tu.
 
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao

je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania

au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
duuhh
 
Back
Top Bottom