Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Mkuu ongezea kidogo nyama hapo, hao blue eyed aryan ni watu gani. Na mfano wa famous people ni kama yupi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mzuri lkn taarifa vimodokodo you ain't catch a thing
 
Mkuu ongezea kidogo nyama hapo, hao blue eyed aryan ni watu gani. Na mfano wa famous people ni kama yupi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Nordic Race is the Master Race, Herrenvolk, Nazi Ideology

wako km hivi but uki google utapata inf. pana zaidi, wazungu wengine huona km ubaguzu hivi. hasa wayahudi na wazungu wa kusini mwa Bara Ulaya. sababu hawa Aryan wanajiona Bora. eti walistahili kutawala Dunia, ndiyo wamewaletea wazungu wote mafanikio. hawa Aryan wako kaskazini ya Ulaya. wanadai ndiyo masalia ya kizazi cha kale cha LEMULIA.
 
LEMULIA ni watu gani hao? Asili yao ni wapi? Wapo kwa wingi au uchache kiasi gani?

Jr[emoji769]
 
LEMULIA ni watu gani hao? Asili yao ni wapi? Wapo kwa wingi au uchache kiasi gani?

Jr[emoji769]
Asa hapa kuna ubishi wengine wanadai ni weusi, na wengine ni weupe yaani wazungu! nimejaribu kuweka ila zinazengua, jaribu ku-expand hii, halafu utushushie vitu kadfri ya uelewa wako! sawa mkuu?kuna kitu nataka nikichangie hapa ili na wengine waelewe!
 
[emoji120][emoji120][emoji120]karibu uendeleee

Jr[emoji769]
 
Your browser is not able to display this video.
 
The first world was black na haijalishi Bible inasemaje,Binadam wa kwnz kagundulika Olduvai gorge ambayo iko wp?
 
Afrika Tanzania Kaskazini...Ila hii ni kwa mujibu wa historia
Pepo la ubaguzi wa kaskazini likutoke in Jesus` name,hujui kuwa mabaki ya dinasoir yalipatikana mkoani Lindi!? Au unataka wambozi wadai ile meteorite ilidondoka mbozi iwe mali ya wanyakyusa tu!?
 
Pepo la ubaguzi wa kaskazini likutoke in Jesus` name,hujui kuwa mabaki ya dinasoir yalipatikana mkoani Lindi!? Au unataka wambozi wadai ile meteorite ilidondoka mbozi iwe mali ya wanyakyusa tu!?
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Kwahiyo mkuu ma black wote uzao wetu una laana?
 
Mkuu naomba unitag kwenye huo uzi wa Enoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…