Je Wazungu wapo kwenye matayarisho ya Mwisho ya kuihama dunia?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nikiangazia trend za kisiasa ambapo watu wenye asili ya Afrika wanachukua hatamu za kimamlaka na maeneo mengine muhimu basi napata hisia hawa wenzetu wapo kwenye hatua za mwisho za kiuhama dunia na kwenda sayari nyingine.
Watakuwa wanakuja duniani kama aliens wakiwa na sophisticated capabilities.
ukifuatiloa trend ni kama vile wameachana na ushindani wa maswala ya muda mrefu ya kidunia.
Je tumejiandaa vipi??
Je turejee misingi yetu ya kidunia ili watakapokuwa wanakuja wapate ugumu wa kuishi duniani au na sisi tuunge bodi kuwafuata huko wanapotaka kwenda??

Kiranga Nyani Ngabu fanyeni mchakato wa kuwa diaspora mitaa ya MARS.
 
Hapana, hawana hiyo teknolojia.

Safari ya kwenda mars 2030 itachukua miaka mitatu, bado kuna utata kuhusu namna ya kuikamilisha safari hiyo mfano chakula kitatunzwaje....

Teknolojia ya kubadili sayari iweze kufaa kuishi(terraforming) yenyewe bado ipo kwenye nadharia tu,
Na wanasema Venus ndo itafaa kuliko mars(sababu ni ndefu kidogo)

Kwahiyo bado.
 
Nikiangazia trend za kisiasa ambapo watu wenye asili ya Afrika wanachukua hatamu za kimamlaka na maeneo mengine muhimu basi napata hisia hawa wenzetu wapo kwenye hatua za mwisho za kiuhama dunia na kwenda sayari nyingine.
Watakuwa wanakuja duniani kama aliens wakiwa na sophisticated capabilities.
ukifuatiloa trend ni kama vile wameachana na ushindani wa maswala ya muda mrefu ya kidunia.
Je tumejiandaa vipi??
Je turejee misingi yetu ya kidunia ili watakapokuwa wanakuja wapate ugumu wa kuishi duniani au na sisi tuunge bodi kuwafuata huko wanapotaka kwenda??

Kiranga Nyani Ngabu fanyeni mchakato wa kuwa diaspora mitaa ya MARS.
acha fikra za kinyoongeeee gentleman,

kua maskini au tajiri ni uamuzi wako tu Tanzania 🐒

hayupo wa kurejea utumwani aise 🐒
 
Aisee kuishi kote huku duniani, hujui bado wanadamu tunaishi na kufa?
Mifumo ya dunia hubadilikabadilika kutokana na wakati. Walikuwepo wa misri, wa Persia, warumi, WAINGEREZA, Wamarekani na baadae utawala wa Yesu
 
Mbona hueleweki .

Mara viongozi wa kiafrica wanaoshika hatamu wamekuwaje?

Hivi kuna bara la viongozi wezi wa kura , rasilimali, wauaji, mafisadi kama Africa?
 
wewe endelea kuongelea demokrasia na kura wakati wenzako wana mpango wa kupaa
 
Wachache sana wanaweza kukuelewa lkn hawa wa kwenda shule na kujifunza kuchora kumbikumbi kisha kujiunga CCM, katu hawatakuelewa.
Hii mada yako ipo sensitive sana wala siyo ya kubezwa...
 
Kama kawaida yetu watachukua baadhi watumwa na wengine tutajipeleka huko kama wakimbizi
Tukae hapa tufanye nini?
 
Back
Top Bottom