jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nikiangazia trend za kisiasa ambapo watu wenye asili ya Afrika wanachukua hatamu za kimamlaka na maeneo mengine muhimu basi napata hisia hawa wenzetu wapo kwenye hatua za mwisho za kiuhama dunia na kwenda sayari nyingine.
Watakuwa wanakuja duniani kama aliens wakiwa na sophisticated capabilities.
ukifuatiloa trend ni kama vile wameachana na ushindani wa maswala ya muda mrefu ya kidunia.
Je tumejiandaa vipi??
Je turejee misingi yetu ya kidunia ili watakapokuwa wanakuja wapate ugumu wa kuishi duniani au na sisi tuunge bodi kuwafuata huko wanapotaka kwenda??
Kiranga Nyani Ngabu fanyeni mchakato wa kuwa diaspora mitaa ya MARS.