Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Kuna wadada Fulani huku wapo wana jielewa...nawa kubali sana.
Uki wauliza swali iwe huku au PM wana kujibu vyema.
Hao ndio definition ya Wanawake, Bila shaka wana misingi bora ya malezi.
 
Tunakupenda sana joanah jaman mbona umepotea hivi chimamy
 
Yani sijatajwa.
Ngoja nijitoe JF.

Sent from my head using brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…