Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Nakupenda pia pacha.

Hivi ulipotelea wapi jamaani?
 
Love you too.
Nimefurahi
 
Uncle umepotea.

Sijakuona muda mrefu humu.

Vipi kwema lakini? .[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Jamani nawapenda wote jf ila kuna msichana mmoja nahisi kaumbwa ajili yangu.
Mpole, mcheshi, hajui kununa daah basi tuu!
Hata niwe nimechukia au huzuni baasi nabaki na furaha moyoni..
Sio mwingine ni Msichana wangu wa kwanza na wa pekee Jf,
Miss Jf na Wa dunia yangu ya upendo
Si mwingine ni joanah

I love you J, I need you J
 

Thanks cutey ivi upo bosslady...!!?? joanah
 
Muda sijakutia machoni..... nakudai kukumiss
 
Love u too joanah,

Karibu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…