Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

Tatizo mbwa mnamchukuliaga poa sana aisee. Nikiwa yanki huko Katavi nilikuwa naenda kuwinda na mbwa, hifadhini kabisa, Mbawala, Swala, Kudu, Ngiri na hata nyati mdogo akizubaa anakwenda na mbwa.
Nilikuwa na mbwa kama 20.
Binadamu kinachomsaidia ni akili tuu, ila hakuna kiumbe rahisi kufa kama hinadamu. Msimchukulie poa mbwa, ana taya zina nguvu na meno marefu kama ya mbwa mwitu.
 
labda niwe nimelewa.

hata huko kijijini,wahanga wa kuliwa na fisi ni wazee na walevi.
simba mwenyewe anaua mnyama sababu huwa ana eneo moja tu analoshambulia kwa malengo maalumu(shingo),lengo ni kuivunja au kuziba pumzi,akishindwa tu kutimiza hilo jambo anaua kwa tabu sana.
mbwa hana mbinu hii,yeye kushambulia kuharibu,ni mwepesi sana kumthibiti kama.utachagua eneo moja la kumdhuru,kama macho eithe koo lake.
kapuuzi kama.haka chini kakikurukia weww tia vidole machoni hata yatoke nje,lazima kakimbie😂😂😂
 
mshamba_hachekwi mbona mimi siamini kama mbwa anaweza kuniua kabla ya mimi sijamuwahi binadamu sio kiumbe wa kawaida ila watu nahisi hawajui
kukuua ni ngumu, labda wawe wengi, kukujeruhi vibaya inawezekana,

kuna mbwa aliua mountain lion mwenyewe anatrend mitandaoni😂

ni hii breed argentinian mastiff, mbwa yeyote mwenye mbegu ya 'mastiff' ogopa sana
1704898568820.png
 
Kuna clip ninayo kwenye simu bulldog kamkamata mtu hamuachii yanii wamefanya Kila mbinu, akaja jamaa mmoja akawaambia wamuache, jamaa akampiga dole la nyuma huyo bulldog, aisee mbwa aliruka na kukimbia mbali kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utani huu...
 
labda niwe nimelewa.

hata huko kijijini,wahanga wa kuliwa na fisi ni wazee na walevi.
simba mwenyewe anaua mnyama sababu huwa ana eneo moja tu analoshambulia kwa malengo maalumu(shingo),lengo ni kuivunja au kuziba pumzi,akishindwa tu kutimiza hilo jambo anaua kwa tabu sana.
mbwa hana mbinu hii,yeye kushambulia kuharibu,ni mwepesi sana kumthibiti kama.utachagua eneo moja la kumdhuru,kama macho eithe koo lake.
kapuuzi kama.haka chini kakikurukia weww tia vidole machoni hata yatoke nje,lazima kakimbie😂😂😂
nipo pamoja na wewe labda niwe nimelewa ila mimi mbwa hawezi niua hata hawe vipi lazima futi sita zitamuhusu💪💪💪💪💪💪
 
kuna mwamba 2018 aliua chui wa kilo 50 bila silaha yoyote.

chui alimrukia mwamba akamdaka kama golikipa,akashilia shingo,chui alijitetea lakini wapi akauza pambano😂😂
 
ni hii breed argentinian mastiff, mbwa yeyote mwenye mbegu ya 'mastiff' ogopa sana

Ni kweli jamii wana ukatili mkali mno
 
kukuua ni ngumu, labda wawe wengi, kukujeruhi vibaya inawezekana,

kuna mbwa aliua mountain lion mwenyewe anatrend mitandaoni😂

ni hii breed argentinian mastiff, mbwa yeyote mwenye mbegu ya 'mastiff' ogopa sana
View attachment 2867569
mountain lion bwege tu ni paka aliyechangamka😂😂😂

kuna video niliiona namna chui anavyobeba mbwa wa magetini,mpaka nikawa napanick,mbwa ni fala sana🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom