labda niwe nimelewa.
hata huko kijijini,wahanga wa kuliwa na fisi ni wazee na walevi.
simba mwenyewe anaua mnyama sababu huwa ana eneo moja tu analoshambulia kwa malengo maalumu(shingo),lengo ni kuivunja au kuziba pumzi,akishindwa tu kutimiza hilo jambo anaua kwa tabu sana.
mbwa hana mbinu hii,yeye kushambulia kuharibu,ni mwepesi sana kumthibiti kama.utachagua eneo moja la kumdhuru,kama macho eithe koo lake.
kapuuzi kama.haka chini kakikurukia weww tia vidole machoni hata yatoke nje,lazima kakimbie[emoji23][emoji23][emoji23]