kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
- #41
not yet but sio sababu ya mimi kuuliwa na mbwa kakaUmeshawahi ua mnyama gani mwenye hasira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
not yet but sio sababu ya mimi kuuliwa na mbwa kakaUmeshawahi ua mnyama gani mwenye hasira?
Huyo mbwa taya lake linamguvu kama mamba..akishika paja anaondoka na nusu kilo ya nyama.not yet but sio sababu ya mimi kuuliwa na mbwa kaka
kuishi na nusu paja sio inshu ila lazimaaafeHuyo mbwa taya lake linamguvu kama mamba..akishika paja anaondoka na nusu kilo ya nyama.
Ndiyo unaweza kuuwawa na kitoweo, mbwa, papa, nyati wanweza sababisha kifo chako.Swali ni je unaweza kuuliwa na kitoweo? Kule kwetu Iringa ukiuliwa na mbwa unajinyonga
ng'adu kwa ng'adu auNdiyo unaweza kuuwawa na kitoweo, mbwa, papa, nyati wanweza sababisha kifo chako.
salute gentlemenAnaweza kunijeruhi vibaya, lakini nitamdedisha tu.
Tulioishi bushi tumevusha sana madem kwao Kuna mbwa wakali.
Nikinunua nyundo Kwa ajiri ya kujihami na mbwa. Nushaua mmoja Kwa nyundo Moja tu likabyaaaaa na kudanja. Kisha nikamvusha dem
wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo
Mada kwa ajili ya wanaume
Watu8 sikupingi na maoni yako ila mimi hata anikute na pensi ya ndani tu i lazima afe mkuu
Hata mm aiseee sijawahi kumwogopa mbwa labda wawe wengi kidogoo nitashtukamimi kwa paka ninaweza kunyosha mikono ila sio mbwa hata awe vipi
Mkuu wewe unaamini mbwa wana akili kuliko binadamu ??? ila sijamaanisha akili kama zetu nieleweMbwa wana akili zaidi yetu wanajua ku keep promise. Wengi wetu ni cheaters these dog will keep killing us
Mkuu, huyo mbwa anakuua kabisa, yaani ukutwe na hiyo midudu hata limoja tu kama huna silaha yoyote umeenda na majimshamba_hachekwi mbona mimi siamini kama mbwa anaweza kuniua kabla ya mimi sijamuwahi binadamu sio kiumbe wa kawaida ila watu nahisi hawajui
kama kaniwahi sina jinsi ila dah fifty fifty Mkuu nikifa na yeye baada ya masaa machache ananifataNimewahi kuona video clip moja, mbwa kamrukia jamaa kwenye koromeo akiwa hata hajajua atavamiwa na mbwa...
Kapigishwa mueleka, nadhani alianguka vibaya akawa hawezi jitetea tena...
Cheki hicho kifua kwanza afu mtu anaongea nini au amezoea kukutana na akina manunuJibu ushapata au bado View attachment 2867564
Mtafute bulldog uangalie shughuli yakewanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo
Mada kwa ajili ya wanaume