Kuna clip ninayo kwenye simu bulldog kamkamata mtu hamuachii yanii wamefanya Kila mbinu, akaja jamaa mmoja akawaambia wamuache, jamaa akampiga dole la nyuma huyo bulldog, aisee mbwa aliruka na kukimbia mbali kabisaBulldog akikamata kwa meno hizo kengele zako haachii hata umchome kisu.
😹😹😹Mufti kuku The Infinity kwahiyo unaenda kama upepo ?
Hii comedy au ni kweliKuna clip ninayo kwenye simu bulldog kamkamata mtu hamuachii yanii wamefanya Kila mbinu, akaja jamaa mmoja akawaambia wamuache, jamaa akampiga dole la nyuma huyo bulldog, aisee mbwa aliruka na kukimbia mbali kabisa
kukuua ni ngumu, labda wawe wengi, kukujeruhi vibaya inawezekana,mshamba_hachekwi mbona mimi siamini kama mbwa anaweza kuniua kabla ya mimi sijamuwahi binadamu sio kiumbe wa kawaida ila watu nahisi hawajui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna clip ninayo kwenye simu bulldog kamkamata mtu hamuachii yanii wamefanya Kila mbinu, akaja jamaa mmoja akawaambia wamuache, jamaa akampiga dole la nyuma huyo bulldog, aisee mbwa aliruka na kukimbia mbali kabisa
nipo pamoja na wewe labda niwe nimelewa ila mimi mbwa hawezi niua hata hawe vipi lazima futi sita zitamuhusu💪💪💪💪💪💪labda niwe nimelewa.
hata huko kijijini,wahanga wa kuliwa na fisi ni wazee na walevi.
simba mwenyewe anaua mnyama sababu huwa ana eneo moja tu analoshambulia kwa malengo maalumu(shingo),lengo ni kuivunja au kuziba pumzi,akishindwa tu kutimiza hilo jambo anaua kwa tabu sana.
mbwa hana mbinu hii,yeye kushambulia kuharibu,ni mwepesi sana kumthibiti kama.utachagua eneo moja la kumdhuru,kama macho eithe koo lake.
kapuuzi kama.haka chini kakikurukia weww tia vidole machoni hata yatoke nje,lazima kakimbie😂😂😂
kuna mwamba 2018 aliua chui wa kilo 50 bila silaha yoyote.nipo pamoja na wewe labda niwe nimelewa ila mimi mbwa hawezi niua hata hawe vipi lazima futi sita zitamuhusu💪💪💪💪💪💪
mountain lion bwege tu ni paka aliyechangamka😂😂😂kukuua ni ngumu, labda wawe wengi, kukujeruhi vibaya inawezekana,
kuna mbwa aliua mountain lion mwenyewe anatrend mitandaoni😂
ni hii breed argentinian mastiff, mbwa yeyote mwenye mbegu ya 'mastiff' ogopa sana
View attachment 2867569
kaka huo ni moto wa kuotea mbalimountain lion bwege tu ni paka aliyechangamka😂😂😂
kaka hata anikute na pensi tu ya ndani mimi nakuhakikishia lazima niueIssue ni timming
Umeshawahi ua mnyama gani mwenye hasira?kaka hata anikute na pensi tu ya ndani mimi nakuhakikishia lazima niue