kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
-
- #61
Atleast comment hii imenitisha 🤣🤣🤣🤣🤣Cheki hicho kifua kwanza afu mtu anaongea nini au amezoea kukutana na akina manunu
Kuna mbwa na jibwa, hili ni jibwa , ubaya wa hili haliji kama mnapigana masumbwi hili linavamia na hakurudi nyuma kusema likupe nafasi ujiandae
Hahahahaha hii sio chai kweliKuna clip ninayo kwenye simu bulldog kamkamata mtu hamuachii yanii wamefanya Kila mbinu, akaja jamaa mmoja akawaambia wamuache, jamaa akampiga dole la nyuma huyo bulldog, aisee mbwa aliruka na kukimbia mbali kabisa
Haha sina uhakika mkuu ila najua atapambana….binti kiziwi mchumba ako anaweza kuuliwa na mbwa kwa unavyomuona
Paka tu anamaliza mchezo ije kuwa bulldog acha masihara wewe kijana.
Paka tu anamaliza mchezo ije kuwa bulldog acha masihara wewe kijana.
Hebu post meno na kucha zako pengine watu wana dought uwezo wako kumbe una silaha.kama kaniwahi sina jinsi ila dah fifty fifty Mkuu nikifa na yeye baada ya masaa machache ananifata
Ina maana hapo ndio ipo password yake[emoji23][emoji23]Kuna clip ninayo kwenye simu bulldog kamkamata mtu hamuachii yanii wamefanya Kila mbinu, akaja jamaa mmoja akawaambia wamuache, jamaa akampiga dole la nyuma huyo bulldog, aisee mbwa aliruka na kukimbia mbali kabisa
Mbwa mmoja, anakuua vizuri tu. Tena ukute ni Rottweiler au Pitbull.Inategemea kama una silaha karibu, ila kwa hali ya kawaida umevamiwa tu huna cha kujitetea, lazima uumizwe vibaya. Kuuliwa sidhani, labda kama mbwa ni wengi...
Kwa wale mbwa wazito kilo 60+, lazima uteseke, mfano huyu hapa ana kilo 100+
View attachment 2867562
Nikutumie clip?Hahahahaha hii sio chai kweli
We jichanganye tu 😂😂hilo tiger mwenyewe anatokwa jasho kwa matesoAtleast comment hii imenitisha 🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna clip ninayo kwenye simu bulldog kamkamata mtu hamuachii yanii wamefanya Kila mbinu, akaja jamaa mmoja akawaambia wamuache, jamaa akampiga dole la nyuma huyo bulldog, aisee mbwa aliruka na kukimbia mbali kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda niwe nimelewa.
hata huko kijijini,wahanga wa kuliwa na fisi ni wazee na walevi.
simba mwenyewe anaua mnyama sababu huwa ana eneo moja tu analoshambulia kwa malengo maalumu(shingo),lengo ni kuivunja au kuziba pumzi,akishindwa tu kutimiza hilo jambo anaua kwa tabu sana.
mbwa hana mbinu hii,yeye kushambulia kuharibu,ni mwepesi sana kumthibiti kama.utachagua eneo moja la kumdhuru,kama macho eithe koo lake.
kapuuzi kama.haka chini kakikurukia weww tia vidole machoni hata yatoke nje,lazima kakimbie[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamvimbisha uongo😂😂 kwamba atakulinda hata akitokea simba anapambana naeHaha sina uhakika mkuu ila najua atapambana….
kende linabinywaa mpaka unazilaiInategemea sasa. Akija akiniwahi makende, sijui itakuaje.
Still can't imagine .
Inategemea kama una silaha karibu, ila kwa hali ya kawaida umevamiwa tu huna cha kujitetea, lazima uumizwe vibaya. Kuuliwa sidhani, labda kama mbwa ni wengi...
Kwa wale mbwa wazito kilo 60+, lazima uteseke, mfano huyu hapa ana kilo 100+
View attachment 2867562
Mbona mnakujaga huku na mnaufyata mkiwa huko mmeshiba uji wa mlenda mnafoka kweli😂Kwa wanaume wa Dar; hapo kifo ni halali yao. Maana wengi wao ni mlenda mlenda sana. Ila kwa sisi wanaume wa Mikoani, aisee hapo ni kuokota tu jiwe na kumpiga! Au tukiona hakuna njia ya kujitetea, tunatimua mbio. 🏃