Je wewe ni mkongwe wa shamba au wa mjini? Umeona sinema ngapi kati ya hizi? Watoto nyie subirini kuangalia seasons

Nakumbuka namba moja tu lakin ni kama nimeangalia zaidi hapo
Uliziangalizia wapi? Enzi hizo marehemu Ilunga CPwaa na Adili Mkwela Chapakazi walikuwa wananitegemea mimi kuwapa madudez.

Hakukuwa na Internet, hakukuwa na ku download movies.
 
Coming to.America tena shule Gulf air walitupa zawadi ya Tv, radio sbb tulishinda usafi kwa shule za bording.
 
Sisi huku kijijini tulikua hatufatilii majina ya movie ila wahusika tu, mfano chaina (alikua mdada anapiga mkono hatari) hata sijui kwanini tulimpa jina hilo.- American Ninja, saibog, komando kipensi, komando John, Rambo, vandame na boloyang, jack chain, blucelee, kisima Cha mamba, jungle book, Chuck Norris ( cheki nolis)n.k

Movie zote katika mfumo wa VHS

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Set it off. Ilinifanya niamini Queen Latifa ana hommon za kiume. How she had run the show.
Caming to America. (Akimu) Eddy Muphy alivyojishusha kuwa mtu wa kawaida wakati kule Bemunda alikuwa na heshima kubwa. Prince.

Zaidi ya hapo hakuna. Labda ulete za kihindi. Kina Amithab Batchan, Rishi Kapoor, Rajesh Khan na kubwa la Maadui Amrish Poor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…