Je wewe ni mkongwe wa shamba au wa mjini? Umeona sinema ngapi kati ya hizi? Watoto nyie subirini kuangalia seasons

Unaifahamu hii movie?
 
Angela Mao na Cynthia Rothrock nani alikuwa noma?
 
Nimeziona nyingi hapo na siyo kwakua mi mkongwe ila kwakua nimefanya kazi ya kuuza movie.

Menace to society.

Boyz n the hood.

Nafikiri ni best hood movies of all time.

Lil wayne kwenye I Like The View ana mstari wake akifanyia reference Boyz n the hood na hiyo menace to society.
Anakwambia;

- We went from Boyz to Menace, Menace II Society
Now we get higher, call that shit karate,

Halafu Rick Ross kwenye Mafia Music kafanyia reference boyz n the hood anakwambia;

- We Boyz n the Hood and nigga you Lil Trey, suppress your apetite we takin ya lil tray
 
Kundi la Deuces walikuwa wakijiweka alama ya kidoti usoni, wahuni sana. Dogo alisingiziwa kuua akiwa na miaka 10 tu
 
Jason's Lyric ya 2pac na Janet Jackson
New Jersey Drive madogo wamekubuhu kwenye wizi wa magari
Johnson lyric ni Bookeem na brother wake fulani hivi ,

Wanalelewa na single mother halafu baadae mmoja anakuwa gangster.
Mwingine mstaarabu.

Bookeem mwanzo ,
anatumiwa na genge la akina trench,
Muhuni mmoja Street anaye deal na drags na robers.

Jadah pinket,,
dada yake trench anakuwa na mahusiano na brother wa bokeen bila kujuwa kama trench na bookeem wapo kwenye business moja ya kupora mabank., drugs dealers.

Siku moja,
bookem anamuona Jadah pinket ambaye ndy dada wa trench home kwao.
Wakiwa ktk kupanga mipango yao ya kuvamia bank.

Jadah anasikia anakwenda kumwambiya Kaka yake bookem kwamba mdogo wake ambaye ni bookeem ni gengstar na wana mpango wa kuvamia sehem.

Baadae deal linabuma kwa uzembe wa bookem,

Na trench anaamua kujichukulia Sheria mkononi kumpa kichapo bookem.

"Your brother **fu**cky ***my sister "

"And you fu**ck my money."

Alisikika ,
trench akimfokea bookem huku anampa kichapo.

Baadae bookem anarudi nyumbani akiwa anavuja damu mwili mzima,

Hata mama yao alimshangaa sn.

Brother wa bookeem na bookeem mwenyewe wanakwenda kurevange kwa akina trench.

Brother bookem akimtafuta trench alipe kisasi cha mdogo wake.

Na bookem anawatafuta wote wahuni waliomchapa pamoja na yule sister wa trench Jadah pinket ambaye ni shemeji yake..

Bonge moja la dude hupawi kulikosa mkuu.

Kuna love story na ugangstar ndani yake.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Kweli aiseee nilichanganya na Poetic Justice
 
Hivi hii si ni ile mkaka mmoja alipata scholarship sijui ya kwenda kusoma wapi sasa kabla hajaenda akawa ame shootiwa na wakaka fulan hivi halafu baadae marafiki zake wakaenda kulipiza kisasa wakawauwa wote?
Ni siku nyingi ila kama vile nilishaiona.
 
Kundi la Deuces walikuwa wakijiweka alama ya kidoti usoni, wahuni sana. Dogo alisingiziwa kuua akiwa na miaka 10 tu
Hapana ,
Story inaeleza kuwa baada ya Bobby Johnson kwenda jela kwa kosa la kumuua jirani yake kwa kumla mkewe,
mama wa Jimmy Michael Bobby Johnson.

Jamaa alikuwa anamt**ombea mkewe halafu anamletea dharau sababu jamaa ana kibunda cha noti.
Bobby Johnson anaamua kujichukulia Sheria mkononi kwa kumuua mgoni wake.

Huku nje friends wa Bobby Johnson wanaamua kumlea Jimmy Michael Bobby Johnson.
Jimmy Michael Bobby Johnson akiwa na umri mwaka mmoja tu..

Friends of Bobby Johnson waliamua kumtunza Jimmy Michael Bobby Johnson,,,

Lakini wakawa wanamtumia kwa kuuza madawa na wizi wa redio za gari majumbani..

Huko jela napo Bobby anakutana na waislam wanambadilisha Iman yake na kuwa mtu powa,na usela akaachana nao.

Siku moja dogo akiwa na umri wa miaka 10,,
alikwenda kuiba nyumba fulani,
Kumbe ni ya mwanajeshi mstaafu.

Yule Mzee anampiga risasi ya mgongo Jimmy Michael Bobby Johnson.
Hata majirani wakalalamika kwa nn mtoto mdogo apigwe risasi?
"He is just a kid!!"
Walisikika majirani.

I didn't know he was a kid"
Alijitetea yule Mzee mstaafu.

Baadae Jimmy Michael Bobby.
Johnson anafungwa jela ya watoto.
Kwa kosa la wizi wa redio.

Wakati huo wote Jimmy Michael Bobby hakuwahi kumuona Baba yake Bobby Johnson,

Ila alimkuwa akimsikia kwa freinds wa Baba yake kwamba Bobby ni mtu na nusu ,
ni msela hatari.
Na siku akijuwa kama mwanae kapigwa risasi basi Mzee aliyempiga risasi yupo mashakani.

Bobby Johnson anatoka jela baada ya miaka 10.
Anafika mitaani anauliza family yale anakuta mkewe kawa teja,

Na anamuuliza Jimmy Michael Bobby Johnson
Anaambiwa yupo gerezani.
Anaamua kumfata alipo.

Huko gereza la watoto Jimmy Michael ,,
Anakutana na Baba yake kwa mara ya Kwanza,,

anamuangalia Baba yake vizuri usoni,,
anamuona hala Ile alama ya dues usoni.(alama waliyojiwekea kama alama ya genge Lao)
Anaanza kutia Shaka.

Anaanza kumsimulia na kumuonyesha alama za makovu ya risasi ,
Bobby anamwambiya awachane na hayo Mambo ya kisasi.

Yeye sasa ni mtu mpya.
*Iam a changed man"

Hapo hapo Jimmy Michael Bobby Johnson anapayuka.

*You are no my daddy."
Security wanamuondoa Bobby Johnson.

Baada ya muda friends of Bobby Johnson wanaamua kujichukulia Sheria mkononi kwa kumteka yule mzee aliyempiga Jimmy Michael Bobby risasi,

Ili Jimmy Michael Bobby nae amlipize kumshoot.

Ndy hapo Bobby Johnson anaibukia humo kwenye jengo fulani la mateso,,
na kuanza kumpa nasaha dogo asimuue yule Mzee.

Plz Jimmy,
Look at me.
Iam your daddy.

Iam bobby Johnson
You are Jimmy Michael Bobby Johnson.

I love you son.
I don't wanna you to end up in prison like me.

Plz son give me the gun.

Wale friends wa Bobby wanamkazia macho Jimmy Michael Bobby J wakimwambiya ,

Kill that** mot*her fu*Ker.

Who was taking care of you when your daddy was in prison.?
.dues was taking care of you.

Kill that bit*Ch.
Walisikika wale wahuni wakimwambiya Jimmy Michael Bobby Johnson.

Damu nzito sna,

Mwishowe ,,
Jimmy Michael anaweka gun chini na kumkumbatia Baba yake.

Bonge moja la dude hilo..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Dah....nimeshtuka sana niliposikia movies za wakongwe.... Nikajua nitazikuta Kama Flat foot goes....Mlevi.....Fantastic seven....A taste of the hell.....Sahara cross....venom....Bulicheka......A man with no legs.....breaker breaker....one down two to go....from Russia with love...nk .....au sijui uhenga ..,unaanzia wapi?.........🤣🤣🤣🤣🤣🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…