Je wewe ni mkongwe wa shamba au wa mjini? Umeona sinema ngapi kati ya hizi? Watoto nyie subirini kuangalia seasons

Kila Zama na Zama zake mkuu.

Hizo ni Films za black Americans kuanzia mwaka 1990/2000.

Hizo za akina bad spensa.
Franko Nero..
Ni miaka ya 80..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Nadhani hapo unapenda Genre fulani na sio necessarily ukongwe

Kwa kuongezea za aina hio

Any Movies za Director Spike Lee
South Central LA
Mo Money
Nimeona unampenda pia Eddie Murphy (Hapo kuna Trading Places; The Distinguished Gentleman na Bevery Hill Cops)
Thin Line Between Love and Hate (Martin Lawrence)
Ila kama issue ni Ukongwe basi inabidi uende kwenye Black & White na Sydney Poitier should be there

Vipi Kuhusu Denzel ?
Mississippi Massala (ambapo tunakuja mpaka hapo Uganda kwa ndugu zetu)

Hapo nafuata mtitiriko wako wa Black Actors / Actresses Movies.... Na wakongwe wa kweli watakwambia SHAFT yupo wapi ?

Ungeenda na kwa Wazungu nadhani Western Movies zisingekosa (Kina Clint Eastwood, Lee Van Cliff na Marlon Brando)
 
Kila Zama na Zama zake mkuu.

Hizo ni Films za black Americans kuanzia mwaka 1990/2000.

Hizo za akina bad spensa.
Franko Nero..
Ni miaka ya 80..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Dah.....kwahiyo wakongwe ni 1990-2000.....sisi tuliokula bata 1960-1970 ndiyo mnatutenga?🤣🤣🤣
 
Hapo pa Wagagagigikoko umeupiga mwingi
 
Almost zote nimeshaziona kwa kuongezea tu kuna kuna
CB4
The best man hiz zipo mbili
Double take
Jason’s lyrics
White man cant jump
South centrel
Weist deep
Kwenye miaka ya 90s
Friday next friday after next friday
Barbershop next cutting
Mac and Devin hii kacheza snop na wiz
Soul plane hii kacheza pia snop kuna mastaa weng kama redman
Yani zipo nying sana bila kusahau STRAIGHT OUTTA COMPTON [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Hivi hii si ni ile mkaka mmoja alipata scholarship sijui ya kwenda kusoma wapi sasa kabla hajaenda akawa ame shootiwa na wakaka fulan hivi halafu baadae marafiki zake wakaenda kulipiza kisasa wakawauwa wote?
Ni siku nyingi ila kama vile nilishaiona.
Siku anashootiwa alikua anamsaidia Jada kupanga vitu ili auhame mtaa. Hiyo Menace to Society
 
Ongeza na one down two to go, (Fred Williamson)

Alafu Never say never again (Sean Connery as James Bond)
 
Nyingine ni Inter the Dragon na War Bus. Kwa wahindi Kuna amdhaka noon. Mtanisamehe kwenye spelling kama nimekosea
 
Alafu kuna kitu kilitoka kwa jina la Bronx warriors
 
Skuzile tulianza na Micro Cassette.
Tukaja kwenye Audio Cassette.
Kabla ya Reel to Reel.
Badae ikakuja Lp/Vinyl Recods.
Ndipo zikakuja hizi mambo zenu mavijana.
Sikuzile tulikua tunaingia kuangalia Cinema pale Mwana Isungu Tabora, T-Vol Mwanza, Manzi mmoja na kadhalika na kadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…