Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

Usikute Bibie alisoma ramani 🗺
 
Hiyo itawork kama Rose Mrema angekuwepo. Ila huyu mke wa sasa hana chake miezi mitano tu kaishi na mzee.
 
Ulitaka upatiwe na wewe mgawo??
 
Hiyo itawork kama Rose Mrema angekuwepo. Ila huyu mke wa sasa hana chake miezi mitano tu kaishi na mzee.
He he he he, kwani Mrema hajaacha mke? Hata ingekuwa siku moja. Kwa mjibu sheria huyo ni mke wake.
Tofautisha kupata mali baada ya kiachana kwa ndoa na kupitia urithi. Ni vitu viwili tofauti. Hakuna sehemu sheria inasema mume au mke akae na mume au mke kwa mda gani ili aweze kurithi mwenza akifariki.
The moment walivyofunga Ile ndoa it is when the rights to inherit from each other were derived. In short and clear Mzee Mrema ameacha mke.It is being mke Alon that entitlea her the right to inherit. Labda hoja yako iwe a new precedent!
 
Mrema simjui kiundan ila watu wanavyomchukulia kwa kuoa yule mke sio
Alioa ili kupata mtu wa kumsaidia ukizingitia yy ni mtu mzima na watt wake ni wakubwa na wana familia zao
 
Kuna clip ipo You Tube marehemu akizungumzia suala la mirathi baada ya ndoa yake, humo aliweka wazi kuwa ameshawagaia watoto wake kinachostahili
Mjane pia alisema hakufuata mirathi kwani naye ni mwenye uwezo wake kutokana na biashara mbali mbali anazofanya Moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…