Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

Mrema ana pesa gani hadi yajirudie? Hebu kakae na uje na post za maana wacha kujaza Server ya Jf na post zisizo kuwa na uhai
Unaumwa sio bure! Mtu kashikwa nyazifa kibao za maana , alikuwa anakula ruzuku za chama na muasisi na alikuwa na usiri mkubwa na mambo ya serikali ....usichokijua yule mzee alijitambua mapema uliza wanae na hakutaka kuleta ushamba kuwafanya wanae wawe juu kwa ajili yake .Mzee anayo pesa na nyumba kali hapa sinza kule kwao trailer dar kajenga hapendi showoff alishika pesa mda sana sio hawa washamba wa mjini
 
He he he he, kwani Mrema hajaacha mke? Hata ingekuwa siku moja. Kwa mjibu sheria huyo ni mke wake.
Tofautisha kupata mali baada ya kiachana kwa ndoa na kupitia urithi. Ni vitu viwili tofauti. Hakuna sehemu sheria inasema mume au mke akae na mume au mke kwa mda gani ili aweze kurithi mwenza akifariki.
The moment walivyofunga Ile ndoa it is when the rights to inherit from each other were derived. In short and clear Mzee Mrema ameacha mke.It is being mke Alon that entitlea her the right to inherit. Labda hoja yako iwe a

Aliwezaje kufunga ndoa nyingine wakati ana ndoa nyingine. Unajua procesa za ndoa wewe mdada
Watu wanafunga ndoa juu ya ndoa. Hii ndo Tanzania.
 
mzee alipelekewa binti kutoka kazini kwake amsaidie majukumu madogo madogo lakini pamoja na kumake headlines kuwatoa kwenye reli fulani fulani na kumlinda mzee asije kumwagamwaga nyeti za kwenye mafaili.

Bibie mjane task yake imeisha, anasubiri teuzi mahala aendelee na kazi nyingine.
 
Familia walipaswa kutafuta kijana wa kiume na kumpa pesa nzuri, angekuwa anamuosha vizuri tu na hata mavi angemtawaza vizuri tu na sio kumtafutia gold digger, walikosea sana.
 
Huu ndio mwanzo. Na yeye mwanamke atakwambia alifunga ndoa kisheria na Mrema na hivyo ana haki ya mali za mumewe. Ngoma inogile!!
Mahakama itaamua. Inabidi aweke wanasheria makini sana. Maana mimi ninakumbuka huku mitandaoni walisema yeye na mme wake wake wa kwanza hawana talaka. Kama ni kweli basi ndoa yake na Mrema ni void.
 
Kwa miezi mitano jamani. So apate nyumba ya Sala sala kwa mfano. Apate ya Sinza na ya Moshi pia ?

Mke ana haki ya kurithi mali za marehemu mumewe kisheria. Awe amechuma ama amezikuta.

Kwenye divorce mke ndipo anaangaliwa mchango wake na mume mchango wake. Ila kwenye mirathi mke ana haki ya kupata parcent ya urithi na pia ana haki ya kuishi katika matrimonial house mpaka atakapoolewa tena ama kufariki
 
mzee alipelekewa binti kutoka kazini kwake amsaidie majukumu madogo madogo lakini pamoja na kumake headlines kuwatoa kwenye reli fulani fulani na kumlinda mzee asije kumwagamwaga nyeti za kwenye mafaili.

Bibie mjane task yake imeisha, anasubiri teuzi mahala aendelee na kazi nyingine.
Hauna taarifa huo ni mchepuko wake wa long time sana..hata kwenye msiba wa mke wake alikuwepo
 
Back
Top Bottom