Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

Shida kile kitobo hakinaga mjanja.
Akishapewa mambo matamu anajikuta ile nyumba pale Sinza Vatican karibu na Shule ya miogoni anammilikisha mdada.
Ana nyingine pale legho nyuma ya mto wa kamanyola
 
Augustino Mrema amefariki Dunia, Agosti 21, 2022, hili halina ubishi na sisi kama wanadamu tuliosalia hapa Duniani, hatuna budi kumuombea kwa Mungu nafuu ya adhabu ya kaburi na nafuu siku ya khiyama.

Bali tunatafakari jambo moja tu linalohusu mirathi, Lyatonga Mrema "bila kushawishiwa na mtu "aliutangazia ulimwengu kwamba ANAOA MWANAMKE MPYA MZURI MWEUPE MDOGODOGO, na baada ya siku chache ndoa ikafungwa, bado hatukuelewa sababu hasa ya Mzee Mrema kunyakua ngoma mbichi katika uzee wake ule na afya aliyokuwa nayo, ilimchukua Mrema muda mwingi kusimama kanisani ili kula kiapo cha ndoa, hii ni kutokana na mgogoro wa Afya yake au uzee.

Sasa hoja yetu ni hii hapa, huyu aliyeolewa ni mke halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania japo aliolewa miezi michache iliyopita, vipi kuhusu mgawanyo wa mali za Mrema (kama anazo), Je, ya Reginald Mengi na K-Lyn hayatajirudia?
Sijui wazee wa kimangi wanakwama wapi. Unatafuta peaa ukiwa kijana unazeeka unakufa kiboya mali wanarithishwa wahuni watoto wako wanapigwa kumbo kwa amri yako mwenyewe utadhani hukuwazaa wewe.
 
Back
Top Bottom