Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Mrema amenifia mkononi - Mjane .
Hizi kauli kama hizi ni ishara ya majambo fulani
Hizi kauli kama hizi ni ishara ya majambo fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana nyingine pale legho nyuma ya mto wa kamanyolaShida kile kitobo hakinaga mjanja.
Akishapewa mambo matamu anajikuta ile nyumba pale Sinza Vatican karibu na Shule ya miogoni anammilikisha mdada.
heheheNisamehe mkuu , ila nina swali dogo , server ya jf ina ukubwa gani ?
[emoji38][emoji38][emoji38]Kapuya anasoma hapa?
Sijui wazee wa kimangi wanakwama wapi. Unatafuta peaa ukiwa kijana unazeeka unakufa kiboya mali wanarithishwa wahuni watoto wako wanapigwa kumbo kwa amri yako mwenyewe utadhani hukuwazaa wewe.Augustino Mrema amefariki Dunia, Agosti 21, 2022, hili halina ubishi na sisi kama wanadamu tuliosalia hapa Duniani, hatuna budi kumuombea kwa Mungu nafuu ya adhabu ya kaburi na nafuu siku ya khiyama.
Bali tunatafakari jambo moja tu linalohusu mirathi, Lyatonga Mrema "bila kushawishiwa na mtu "aliutangazia ulimwengu kwamba ANAOA MWANAMKE MPYA MZURI MWEUPE MDOGODOGO, na baada ya siku chache ndoa ikafungwa, bado hatukuelewa sababu hasa ya Mzee Mrema kunyakua ngoma mbichi katika uzee wake ule na afya aliyokuwa nayo, ilimchukua Mrema muda mwingi kusimama kanisani ili kula kiapo cha ndoa, hii ni kutokana na mgogoro wa Afya yake au uzee.
Sasa hoja yetu ni hii hapa, huyu aliyeolewa ni mke halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania japo aliolewa miezi michache iliyopita, vipi kuhusu mgawanyo wa mali za Mrema (kama anazo), Je, ya Reginald Mengi na K-Lyn hayatajirudia?