Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

Je, yaliyotokea kwenye familia ya Mengi kujirudia kwa Mrema?

Kwa miezi mitano jamani. So apate nyumba ya Sala sala kwa mfano. Apate ya Sinza na ya Moshi pia ?
Sheria nyingi za masuala ya ndoa na mahusiano zinamkandamiza mwanaume na kumpendelea sana mwanamke.. rejea sheria ya kumpa mimba mwanafunzi hata kama wote ni wanafunzi au wametiana kwa hiyari yao kosa ni la mwanaume, rejea sheria ya child support wazazi wakiachana baba anawajiba kutoa matunzo ya hata kama mtoto yupo kwa mama ila kama mtoto yupo kwa baba basi mama hawajibiki kutoa matunzo bila kujali uwezo wa kiuchumi wazazi wote upoje.

Hii ya ndoa nayo ni upigaji mwingine mkikutana mwanaume tajiri mwanamke masikini automatically mwanamke ana mgao wake bila hata ya wosia ila mwanaume akiwa masikini na mwanamke tajiri basi mwanaume hana chake hapo, hata tukiangalia upande wa madaraka tu Rais akiwa mwanaume mkewe anapewa benefits kibao pamoja na kuambatana nae kwenye shughuli mbalimbali ila Rais akiwa mwanamke mmewe anawekwa kando hapewi benefits zozote kama ambazo anapewa first lady..

Sheria yza masuala ya ndoa na mahusiano inabidi zifanyiwe marekebisho zinakandamiza sana wanaume.. wanawake wanachukuliwa kama innocent gender kitu ambacho sio sawa kuna wanawake ambao nao ni matapeli, wezi, wachawi, waongo, walaghai, majambazi n.k
 
Sheria nyingi za masuala ya ndoa na mahusiano zinamkandamiza mwanaume na kumpendelea sana mwanamke.. rejea sheria ya kumpa mimba mwanafunzi hata kama wote ni wanafunzi au wametiana kwa hiyari yao kosa ni la mwanaume, rejea sheria ya child support wazazi wakiachana baba anawajiba kutoa matunzo ya hata kama mtoto yupo lwa mama ila kama mtoto yupo kwa baba basi mama hawajibiki kutoa matunzo bila kujali uwezo wa kiuchumi wazazi wote upoje, hii ya ndoa nayo ni upigaji mwingine mkikutana mwanaume tajiri mwanamke masikini automatically mwanamke ana mgao wake bila hata ya wosia ila mwanaume akiwa masikini na mwanamke tajiri basi mwanaume hana chake hapo, hata tukiangalia upande wa madaraka tu rais akiwa mwanaume mkewe anapewa benefits kibao pamoja na kuambatana nae kwenye shughuli mbalimbali ila rais akiwa mwanamke mmewe anawekwa kando hapewi benefits zozote kama ambazo anapewa first lady.. sheria yza masuala ya ndoa na mahusiano inabidi zifanyiwe marekebisho zinakandamiza sana wanaume.. wanawake wanachukuliwa kama innocent gender kitu ambacho sio sawa kuna wanawake ambao nao ni matapeli, wezi, wachawi, waongo, walaghai, majambazi n.k
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sasa hoja yetu ni hii hapa, huyu aliyeolewa ni mke halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania , japo aliolewa miezi michache iliyopita , Vipi kuhusu mgawanyo wa mali za Mrema (kama anazo), Je, ya Reginald Mengi na K-Lyn hayatajirudia ?
Duh!

Mimi inanibidi niulize swali mkuu Erythrocyte.

Hivi likizo itakwisha lini ili kazi ya kuwakomboa waTanzania kutoka kwa mkoloni CCM, adui namba moja aliyepo dhidi ya nchi yetu?

Haya ya Mrema ni mepesi sana. Ndoa imefungwa kihalali. Mwanandoa naye atakuwa na haki yake stahiki; na pengine Mzee wa Kiraracha kaacha maandishi,...sidhani.
 
Augustino Mrema amefariki Dunia, Agosti 21, 2022, hili halina ubishi na sisi kama wanadamu tuliosalia hapa Duniani, hatuna budi kumuombea kwa Mungu nafuu ya adhabu ya kaburi na nafuu siku ya khiyama.

Bali tunatafakari jambo moja tu linalohusu mirathi, Lyatonga Mrema "bila kushawishiwa na mtu " aliutangazia ulimwengu kwamba ANAOA MWANAMKE MPYA MZURI MWEUPE MDOGODOGO, na baada ya siku chache ndoa ikafungwa, bado hatukuelewa sababu hasa ya Mzee Mrema kunyakua ngoma mbichi katika uzee wake ule na afya aliyokuwa nayo, ilimchukua Mrema muda mwingi kusimama kanisani ili kula kiapo cha ndoa, hii ni kutokana na mgogoro wa Afya yake au uzee.

Sasa hoja yetu ni hii hapa, huyu aliyeolewa ni mke halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania , japo aliolewa miezi michache iliyopita , Vipi kuhusu mgawanyo wa mali za Mrema (kama anazo), Je, ya Reginald Mengi na K-Lyn hayatajirudia ?
Huyu Mzee alisababisha mpaka leo tunakula mirungi kwa machale machale

Asee! Kila lenye mwanzo lina mwisho wake Mungu ailaze roho ya marehem pahala pena peponi

Lyatonga da! Katika historia yake ana athari nyingi sana alizo ziacha

Katika Mawaziri wa mambo ya ndani walio rindima na kuacha athari zinazoishi mpaka leo Lyatonga hakuna kama yeye
 
Duh!

Mimi inanibidi niulize swali mkuu Erythrocyte.

Hivi likizo itakwisha lini ili kazi ya kuwakomboa waTanzania kutoka kwa mkoloni CCM, adui namba moja aliyepo dhidi ya nchi yetu?

Haya ya Mrema ni mepesi sana. Ndoa imefungwa kihalali. Mwanandoa naye atakuwa na haki yake stahiki; na pengine Mzee wa Kiraracha kaacha maandishi,...sidhani.
Mkuu hatujawahi kuwa likizo , juzi nimetoka Katavi , nilipita pia Songwe , Tunduma na Mbarali , wiki ijayo naingia Mbeya Mjini , Rungwe na Kyela.

Kumbuka kwamba huko kote Sizuruli , Sijui kama unanielewa , kuna Likizo hapo mkuu ?
 
Mke kaoewa na CCM,mahari kalipiwa na CCM watajijua,ila wazee wakichaga acheni ulimbukeni wa vibinti uzeeni mtakufa midomo wazi siku si zenu
Angetafuta nesi mstaafu akawa anamlipa kumuhudumia ,miaka 77 huwezi kupeleka moto kwa binti bila mkongo au viagra,
Viagra mixer kisukari changanya na presha lazima ukate moto
Uzeeni hupeleki Moto Ila Kuna jinsi inachezewa mpaka unakumbuka ujana wako. Wanawake waone tu, wakitaka kula pesa zako na ukiwa si mchoyo nazo, utafaidi
 
Mrema alifulia hana hela.
Hata ile nyumba yake ya Sinza mihogoni alifanya kusaidiwa kuikarabati. Nyumba ilikua imechoka kwelikweli.
 
Augustino Mrema amefariki Dunia, Agosti 21, 2022, hili halina ubishi na sisi kama wanadamu tuliosalia hapa Duniani, hatuna budi kumuombea kwa Mungu nafuu ya adhabu ya kaburi na nafuu siku ya khiyama.

Bali tunatafakari jambo moja tu linalohusu mirathi, Lyatonga Mrema "bila kushawishiwa na mtu "aliutangazia ulimwengu kwamba ANAOA MWANAMKE MPYA MZURI MWEUPE MDOGODOGO, na baada ya siku chache ndoa ikafungwa, bado hatukuelewa sababu hasa ya Mzee Mrema kunyakua ngoma mbichi katika uzee wake ule na afya aliyokuwa nayo, ilimchukua Mrema muda mwingi kusimama kanisani ili kula kiapo cha ndoa, hii ni kutokana na mgogoro wa Afya yake au uzee.

Sasa hoja yetu ni hii hapa, huyu aliyeolewa ni mke halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania , japo aliolewa miezi michache iliyopita , Vipi kuhusu mgawanyo wa mali za Mrema (kama anazo), Je, ya Reginald Mengi na K-Lyn hayatajirudia?
Hakuna kinacho fanana hapo pengine kama wewe ni ndugu za Mengi mnao pambana na mjane wake na watoto wao wadogo wasirithi mali za mume/baba yao. Unasumbuliwa na njaa
 
Acha ujinga Watu wako msibani
Sawa wewe huwezi kuwa na huruma kuliko yule mtoto mkubwa wa mama mkubwa anayevizia hati za nyumba na viwanja. Sasa mwenzio anavunja makabati wewe umebakia uchungu bila uhusiano!
 
Hakuna kinacho fanana hapo pengine kama wewe ni ndugu za Mengi mnao pambana na mjane wake na watoto wao wadogo wasirithi mali za mume/baba yao. Unasumbuliwa na njaa
Toa maoni yako
 
Mkuu hatujawahi kuwa likizo , juzi nimetoka Katavi , nilipita pia Songwe , Tunduma na Mbarali , wiki ijayo naingia Mbeya Mjini , Rungwe na Kyela.

Kumbuka kwamba huko kote Sizuruli , Sijui kama unanielewa , kuna Likizo hapo mkuu ?
Naona swali langu labda halikukaa vizuri na kueleweka.

Sikuwa na maana ya wewe 'Erythrocyte' kuwa likizo. Nilikuwa na maana pana zaidi ya kumlenga mtu mmoja.

Hata hivyo nashukuru kwa jibu hilo ulilotoa, pengine kazi sasa imehamia mitaani, mlango kwa mlango badala ya kule magerezani, mahakamani na mikutano ya hadhara ambako kila neno lisemwalo hudakwa na wasambaza habari.

Tunaendelea kuvuta subira.
 
Back
Top Bottom