Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unaumwa sio bure! Mtu kashikwa nyazifa kibao za maana , alikuwa anakula ruzuku za chama na muasisi na alikuwa na usiri mkubwa na mambo ya serikali ....usichokijua yule mzee alijitambua mapema uliza wanae na hakutaka kuleta ushamba kuwafanya wanae wawe juu kwa ajili yake .Mzee anayo pesa na nyumba kali hapa sinza kule kwao trailer dar kajenga hapendi showoff alishika pesa mda sana sio hawa washamba wa mjiniMrema ana pesa gani hadi yajirudie? Hebu kakae na uje na post za maana wacha kujaza Server ya Jf na post zisizo kuwa na uhai
He he he he, kwani Mrema hajaacha mke? Hata ingekuwa siku moja. Kwa mjibu sheria huyo ni mke wake.
Tofautisha kupata mali baada ya kiachana kwa ndoa na kupitia urithi. Ni vitu viwili tofauti. Hakuna sehemu sheria inasema mume au mke akae na mume au mke kwa mda gani ili aweze kurithi mwenza akifariki.
The moment walivyofunga Ile ndoa it is when the rights to inherit from each other were derived. In short and clear Mzee Mrema ameacha mke.It is being mke Alon that entitlea her the right to inherit. Labda hoja yako iwe a
Watu wanafunga ndoa juu ya ndoa. Hii ndo Tanzania.Aliwezaje kufunga ndoa nyingine wakati ana ndoa nyingine. Unajua procesa za ndoa wewe mdada
🤣🤣Lazima yatokee. Wazee wa kichaga wanazibukia uzeeni
Sio lazima wachume pamoja, ile kuwepo kwa Mrema na kuzitunza mali inatosha kuwepo kwenye mirathiWatoto wa Mrema sio mafala. Hakuna chochote alichochuma na Mrema. Ataondoka na nguo zake tu.
Nisamehe mkuu , ila nina swali dogo , server ya jf ina ukubwa gani ?
Huu ndio mwanzo. Na yeye mwanamke atakwambia alifunga ndoa kisheria na Mrema na hivyo ana haki ya mali za mumewe. Ngoma inogile!!!Watoto wa Mrema sio mafala. Hakuna chochote alichochuma na Mrema. Ataondoka na nguo zake tu.
Hahahah hawajui wanawake wa kichaga huyo, eti yeye hajafuata mali sababu ana biashara zake mjini Moshi.😀😀😀 Huu ndio muda mtaona rangi halisi za mankaaHuu ndio mwanzo. Na yeye mwanamke atakwambia alifunga ndoa kisheria na Mrema na hivyo ana haki ya mali za mumewe. Ngoma inogile!!!
Mahakama itaamua. Inabidi aweke wanasheria makini sana. Maana mimi ninakumbuka huku mitandaoni walisema yeye na mme wake wake wa kwanza hawana talaka. Kama ni kweli basi ndoa yake na Mrema ni void.Huu ndio mwanzo. Na yeye mwanamke atakwambia alifunga ndoa kisheria na Mrema na hivyo ana haki ya mali za mumewe. Ngoma inogile!!
Kwa miezi mitano jamani. So apate nyumba ya Sala sala kwa mfano. Apate ya Sinza na ya Moshi pia?Sio lazima wachume pamoja,ile kuwepo kwa Mrema na kuzitunza mali inatosha kuwepo kwenye mirathi
Kwa miezi mitano jamani. So apate nyumba ya Sala sala kwa mfano. Apate ya Sinza na ya Moshi pia ?
Watoto walipaswa wampinge baba yao kuoa, ambacho walipaswa kufanya ni kumtafutia mzee kijana wakumtunza na wangempa mshahara mzuri hata mavi anashikaKwa miezi mitano jamani. So apate nyumba ya Sala sala kwa mfano. Apate ya Sinza na ya Moshi pia ?
Hongera kwa akili zako za kushikiwa na mitume na manabii wako wanaotajirika kupitia wajinga kama wewe.Kuombea marehemu ni ibada ya sanamu na mizimu.
Mzee alikuwa anataka kugegeda je angempakua huyo houseboy? Kuoa ndo sawa Kuna mengi ya usiri na mkewe na atakuwa mtu wa karibu.Watoto walipaswa wampinge baba yao kuoa,ambacho walipaswa kufanya ni kumtafutia mzee kijana wakumtunza na wangempa mshahara mzuri hata mavi anashika
Hauna taarifa huo ni mchepuko wake wa long time sana..hata kwenye msiba wa mke wake alikuwepomzee alipelekewa binti kutoka kazini kwake amsaidie majukumu madogo madogo lakini pamoja na kumake headlines kuwatoa kwenye reli fulani fulani na kumlinda mzee asije kumwagamwaga nyeti za kwenye mafaili.
Bibie mjane task yake imeisha, anasubiri teuzi mahala aendelee na kazi nyingine.