Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,

Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?

1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake

Ni swali tu kama kawaida yangu


Soma pia


Soma pia


Soma pia



Britanicca
 
HIZI POINT MBILI ZINATOSHA KUUNGANISHA DOT
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake
 
DJN atauonja urais, kitu ambacho sijui ni atakaa madarakani kwa miaka mingapi, hilo sijui.

Na hapo tutakuwa na wakuu ambao hawajachaguliwa na wananchi, si inabidi makamu apendekezwe na mkuu kisha bunge limuidhinishe?

Au mkuu akitema bungo inabidi uchaguzi uitishwe?
 
DJN atauonja urais, kitu ambacho sijui ni atakaa madarakani kwa miaka mingapi, hilo sijui.

Na hapo tutakuwa na wakuu ambao hawajachaguliwa na wananchi, si inabidi makamu apendekezwe na mkuu kisha bunge lipitishe?

Au mkuu akitema bungo inabidi uchaguzi uitishwe?
Mkuu akitema mbungo hakuna kuitisha uchaguz ni mwendo wa Makamu kuapishwa
 
If the President of the United Republic of Tanzania (URT) resigns, the succession process and administrative transition are governed directly by Article 37 of the Constitution of the United Republic of Tanzania (1977).
1. Immediate Succession
Vice-President Takes Office: The Vice-President immediately assumes the office of the President.
Term Duration: The Vice-President serves out the remainder of the unexpired presidential term.
2. Nomination of a New Vice-President
Timeline: Within 14 days of assuming the presidency, the new President must nominate a candidate for Vice-President.
Parliamentary Approval: The nomination must be confirmed by the National Assembly by a vote supported by at least 50% of all Members of Parliament.
 
Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,

Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?

1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake

Ni swali tu kama kawaida yangu


Soma pia


Soma pia


Soma pia



Britanicca
Yes,
kwanini isiwezekane na imeandikwa kwenye katiba?

asipoaachia ngazi kwa hiyari kwasababu ya kuzorota kwa afya yake, ikithibitika pasina shaka kwa mujibu wa sheria, kwamba afya yake haiwezi tena kumpa uwezo wa kuongoza nchi, anawajibishwa kwa katiba tu 🐒
 
Back
Top Bottom