Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Hizo ni ndoto za Alinacha
Ni mwendo wa kuzua tu mpaka pakucheNimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake
Ni swali tu kama kawaida yangu
Soma pia
Tunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba...
- britanicca
- Replies: 34
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
Kwakuwa hawa ndio wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A. KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala hili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kijeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi...
- britanicca
- Replies: 144
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana Makamu akamwaga manyanga?
Si lazima iwe leo nasema tu je kwa aina ya viongozi wetu wa Afrika inakujia akilin kwamba one day anaweza wajibika ?
Nimeyasoma yaliyopo kwenye laptop ilokuwa ya Polepole ni halali hata Mauzi kukimbia nchi
![]()
Britanicca![]()
- britanicca
- inaweza makamu makamu wa rais mkuu rais waziri waziri mkuu
- Replies: 149
- Forum: Jukwaa la Siasa
Britanicca
Yeah! Hiyo inawezekana huko mbeleni. Na hata kwenye vyama vya Siasa Mwenyekiti anaweza pia kuomba kukaa pembeni kwasababu ya afya hasa Afya ya Akili. Mfano, hata sasa hivi Lissu anaweza kuachia nafasi ya Uwenyekiti kwasababu hiyo! Ahahahahaha!!Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake
Ni swali tu kama kawaida yangu
Soma pia
Tunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba...
- britanicca
- Replies: 34
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
Kwakuwa hawa ndio wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A. KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala hili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kijeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi...
- britanicca
- Replies: 144
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana Makamu akamwaga manyanga?
Si lazima iwe leo nasema tu je kwa aina ya viongozi wetu wa Afrika inakujia akilin kwamba one day anaweza wajibika ?
Nimeyasoma yaliyopo kwenye laptop ilokuwa ya Polepole ni halali hata Mauzi kukimbia nchi
![]()
Britanicca![]()
- britanicca
- inaweza makamu makamu wa rais mkuu rais waziri waziri mkuu
- Replies: 149
- Forum: Jukwaa la Siasa
Britanicca
Yupo chini ya 45 lknKo Kijana anaweza kukaa kwenye kiti chekundu mda wowote?
Yatakua maajabu sanaa, Doooh.
Mwaka wa maajabu huu, tusubiri kuona lipi linaanza kati ya hilo au ElninoKo Kijana anaweza kukaa kwenye kiti chekundu mda wowote?
Yatakua maajabu sanaa, Doooh.
Chief, funguka tu, the way ulivyoandika, its like kuna kitu unakijua huko pahala.Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake
Ni swali tu kama kawaida yangu
Soma pia
Tunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba...
- britanicca
- Replies: 34
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
Kwakuwa hawa ndio wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A. KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala hili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kijeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi...
- britanicca
- Replies: 144
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana Makamu akamwaga manyanga?
Si lazima iwe leo nasema tu je kwa aina ya viongozi wetu wa Afrika inakujia akilin kwamba one day anaweza wajibika ?
Nimeyasoma yaliyopo kwenye laptop ilokuwa ya Polepole ni halali hata Mauzi kukimbia nchi
![]()
Britanicca![]()
- britanicca
- inaweza makamu makamu wa rais mkuu rais waziri waziri mkuu
- Replies: 149
- Forum: Jukwaa la Siasa
Britanicca
Hivi viswali vyako hivi...!, usikute wewe una kauli umba, hivyo ukilisema jambo, kauli yako ndio inakuwa na nguvu ya kuliumba hilo jambo, likatokea!. Lile swali la VP kujiuzulu limetokea, sasa unaanza kumuumbia bosi nae ajiuzulu kwa sababu za kiafya?!. Ole wako, akiugua tuu hata mafua... sisi tunakula la wewe!, tutakufata popote ulipo, utueleza umemfanya nini!.Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
Ni swali tu kama kawaida yangu
Soma pia
BritaniccaSwali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana Makamu akamwaga manyanga?
Si lazima iwe leo nasema tu je kwa aina ya viongozi wetu wa Afrika inakujia akilin kwamba one day anaweza wajibika ?
Nimeyasoma yaliyopo kwenye laptop ilokuwa ya Polepole ni halali hata Mauzi kukimbia nchi
![]()
Britanicca![]()
- britanicca
- inaweza makamu makamu wa rais mkuu rais waziri waziri mkuu
- Replies: 149
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kuna vitu huyu jamaa anavijua kuhusu hali ya afya ya mtu wetu, huku yale majinga hayajui!.Chief, funguka tu, the way ulivyoandika, its like kuna kitu unakijua huko pahala.
Huyu jamaa namuogopa sana anaandikaga kama maswali naona hata hapo Uzi wa ndugai kuwekwa pembeni aliuliza kiutani wahali 🙌🏼Hivi viswali vyako hivi...!, usikute wewe una kauli umba, hivyo ukilisema jambo, kauli yako ndio inakuwa na nguvu ya kuliumba hilo jambo, likatokea!. Lile swali la VP kujiuzulu limetokea, sasa unaanza kumuumbia bosi nae ajiuzulu kwa sababu za kiafya?!. Ole wako, akiugua tuu hata mafua... sisi tunakula la wewe!, tutakufata popote ulipo, utueleza umemfanya nini!.
P
Ni swali tu nimeuliza 🙏🏽Hivi viswali vyako hivi...!, usikute wewe una kauli umba, hivyo ukilisema jambo, kauli yako ndio inakuwa na nguvu ya kuliumba hilo jambo, likatokea!. Lile swali la VP kujiuzulu limetokea, sasa unaanza kumuumbia bosi nae ajiuzulu kwa sababu za kiafya?!. Ole wako, akiugua tuu hata mafua... sisi tunakula la wewe!, tutakufata popote ulipo, utueleza umemfanya nini!.
P
Huyu ni ama ana maono ya unabii, ama ana mtu jikoni!.Huyu jamaa namuogopa sana anaandikaga kama maswali naona hata hapo Uzi wa ndugai kuwekwa pembeni aliuliza kiutani wahali 🙌🏼
Haiwezekani uulize tuu, uliuliza Job Ndugai akaondolewa.Ni swali tu nimeuliza 🙏🏽
Ndio maana walitafuta Sababu ya kumtoa EJN ....DJN atauonja urais, kitu ambacho sijui ni atakaa madarakani kwa miaka mingapi, hilo sijui.
Na hapo tutakuwa na wakuu ambao hawajachaguliwa na wananchi, si inabidi makamu apendekezwe na mkuu kisha bunge lipitishe?
Au mkuu akitema bungo inabidi uchaguzi uitishwe?