itakua mnatofautiana ofc tu huko jikoniHuyu ni ama ana maono ya unabii, ama ana mtu jikoni!.
P
Yap. Sio rahisi kwa mwafrika. Mtu amepata kiti kwa njia ya damu harafu aachie hivi hivi, sio rahisi kama tunavyofikiriaLabda huyo raisi asiwe mwafrika. Mwafrika hata akiwa kwenye koma bado anatetea kiti
duh huko PM itakua kuna nzito zaidiSiyo kila tunachojua lazima kiwekwe hadharani nenda PM
Yawezekana lkn siyo Barani Africa!Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake
Ni swali tu kama kawaida yangu
Soma pia
Tunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba...
- britanicca
- Replies: 34
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
Kwakuwa hawa ndio wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A. KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala hili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kijeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi...
- britanicca
- Replies: 144
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana Makamu akamwaga manyanga?
Si lazima iwe leo nasema tu je kwa aina ya viongozi wetu wa Afrika inakujia akilin kwamba one day anaweza wajibika ?
Nimeyasoma yaliyopo kwenye laptop ilokuwa ya Polepole ni halali hata Mauzi kukimbia nchi
![]()
Britanicca![]()
- britanicca
- inaweza makamu makamu wa rais mkuu rais waziri waziri mkuu
- Replies: 149
- Forum: Jukwaa la Siasa
Britanicca
Mimi nina damu tuu ya jikoni kupitia kwa wazazi wangu wote wawili, ila mimi ni mtoto wa kitaa.itakua mnatofautiana ofc tu huko jikoni
Nikisema Sisi namaanisha sisi Wazalendo.Sisi!
Wewe na nani?
Nikisema Sisi namaanisha sisi Wazalendo.
P
Usisahau hii ni serikali HARAM.Makamu anachukua usukani
Inanibidi niseme, kwa vile sasa nimesoma yote yaliyoandikwa humo.Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae pembeni ili Makamu awe na Yule anayeonekana nguvu apewe nafasi ya juu kummaliza ndoto zake
Ni swali tu kama kawaida yangu
Soma pia
Tunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba...
- britanicca
- Replies: 34
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
Kwakuwa hawa ndio wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A. KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala hili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kijeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi...
- britanicca
- Replies: 144
- Forum: Jukwaa la Siasa
Soma pia
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana Makamu akamwaga manyanga?
Si lazima iwe leo nasema tu je kwa aina ya viongozi wetu wa Afrika inakujia akilin kwamba one day anaweza wajibika ?
Nimeyasoma yaliyopo kwenye laptop ilokuwa ya Polepole ni halali hata Mauzi kukimbia nchi
![]()
Britanicca![]()
- britanicca
- inaweza makamu makamu wa rais mkuu rais waziri waziri mkuu
- Replies: 149
- Forum: Jukwaa la Siasa
Britanicca
ok.🐒Tlaatlaah ukimsoma siku hizi unaona patterns.
Amelaza mshale kwa Kasi. Kuna kitu ameona. Amekuwa mtu wa vicoment vifupi "ok" "sawa"
Alipofikia sasa hivi hata umtie kidole jichoni atakuomba samahani yeye. Amechoka sana. Ni kama anajiona mjinga kwa kutetea kwa nguvu maujinga ya sisiem alafu akikumbuka hilo dude limemnyamkua VP kama amwewe na hakuna mtu ametikisa mkia huko sisiem anaogopa sana!!
R.I.P in advance.
binafsi ni mtu wa maadili tangu kuzaliwa kwangu. Ni mtumishi wa wananchi mchapakazi hodari, mwaminifu na mwenye kujali utu wa kila mTanzania. Nina adabu mbele ya jamii ya wanaonipinga na wanaoniunga mkono.Toka Nchimbi ajiuzuru na kuwekwa kitimoto, huwa una comment kwa adabu sana, unajua namna gani CCM inavyojua kiwa suprise machawa wake.
😂😂😂😂😂
Naunga mkono hoja, wewe ni baraka, umebarikiwa na utaendelea kubarikiwa sana.binafsi ni mtu wa maadili tangu kuzaliwa kwangu. Ni mtumishi wa wananchi mchapakazi hodari, mwaminifu na mwenye kujali utu wa kila mTanzania. Nina adabu mbele ya jamii ya wanaonipinga na wanaoniunga mkono.
Ninamfahamu vizuri sana kwamba siasa ni sayansi. Na ninaelewa kwamba political dynamics haliepukiki na hiyo ndio asili yake.
One should not be confused by that,
and everything professional politician must be flexible.
So,
siwezi kuacha kua na adabu katika kufanya siasa kwasababu siasa inahitaji discipline ya kiwango cha juu sana.
Waambie na wenzako kuhusu hili 🐒
Umejieleza sana weka no uokote😅binafsi ni mtu wa maadili tangu kuzaliwa kwangu. Ni mtumishi wa wananchi mchapakazi hodari, mwaminifu na mwenye kujali utu wa kila mTanzania. Nina adabu mbele ya jamii ya wanaonipinga na wanaoniunga mkono.