Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Labda amejitafakali ameona hapendwi kbs kukaa kwake nje ya ulingo kwa miezi mitatu ameusoma mchezo
 
Haya mambo yanafikirisha. Mimi ni sawa na Tomaso.

Naamini muda ni msema kweli.
 
Haiwezekani uulize tuu, uliuliza Job Ndugai akaondolewa.
ukauliza VP, ameondoshwa!
Sasa unamuulizia mwenyewe!, ikitokea kweli, nani ataamini ni umeuliza tuu?.
P
Alafu ni mkeka ule ule wa Tumia akili! Ule mpango ukitimia basi watawala ni vipofu mambo wanayoonywa humu. Kuna wahuni humu anaibuka kwenye uzi wa kijinga anaandika sentensi moja tu na wote tunampuuza ila kitu kinatokea na humuoni tena.
 
Mkuu tuamini kwamba mbele kuna mwanga.

Hiyo makamu mpya wamemuweka kwasababu tuu ila Hana ndoto za uraisi na hatokuja kuwa raisi.

Kazi ngumu iliyobakia ni kuutoa mguu wa CHEMBA.

In short hakukuwa na uchaguzi last year.

Isdory ndio mpango
Mpango ni mgumu kiuchumi!!

Aiseh!yaani mambo yatakua magumu!coz kama atashika atashika tukiwa kwenye deceleration phase ya uchumi!!

Vyuma vitakazwa Hadi vitapasuka!!kunaweza kukatokea Redundancy kabisa kwenye utumishi!!
 
Mpango ni mgumu kiuchumi!!

Aiseh!yaani mambo yatakua magumu!coz kama atashika atashika tukiwa kwenye deceleration phase ya uchumi!!

Vyuma vitakazwa Hadi vitapasuka!!kunaweza kukatokea Redundancy kabisa kwenye utumishi!!

Mkuu Dunia nzima inaelekea kwenye Deflation kwahiyo nafikiri atatumia vizuri elimu yake ya uchumi. Pia najua unamkumbuka kipindi ni waziri wa fedha na mipango alifanya poa sana na shilingi iliweza kumaintain value against dola kwa miaka.

Kuhusu vyuma kukaza ni lazima fedha iwe ngumu tuu, Hizo nyumba na viwanja vya mabilioni ni lazima tuone thamani yake halisi.

Nakumbuka bajeti yake ya mwisho alituachia kauli ya nguvu ya buku ten😂😂😂. Kwa kweli natamani sana elfu kumi irudishe hadhi yake.

Mzee atawatuma vijana wakateseke kweli😂😂😂🫵
 
Back
Top Bottom