Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Yes,
kwanini isiwezekane na imeandikwa kwenye katiba?

asipoaachia ngazi kwa hiyari kwasababu ya kuzorota kwa afya yake, ikithibitika pasina shaka kwa mujibu wa sheria, kwamba afya yake haiwezi tena kumpa uwezo wa kuongoza nchi, anawajibishwa kwa katiba tu 🐒

Toka Nchimbi ajiuzuru na kuwekwa kitimoto, huwa una comment kwa adabu sana, unajua namna gani CCM inavyojua kiwa suprise machawa wake.
😂😂😂😂😂
 
Hivi viswali vyako hivi...!, usikute wewe una kauli umba, hivyo ukilisema jambo, kauli yako ndio inakuwa na nguvu ya kuliumba hilo jambo, likatokea!. Lile swali la VP kujiuzulu limetokea, sasa unaanza kumuumbia bosi nae ajiuzulu kwa sababu za kiafya?!. Ole wako, akiugua tuu hata mafua... sisi tunakula la wewe!, tutakufata popote ulipo, utueleza umemfanya nini!.

P
Sisi!

Wewe na nani?
 
Toka Nchimbi ajiuzuru na kuwekwa kitimoto, huwa una comment kwa adabu sana, unajua namna gani CCM inavyojua kiwa suprise machawa wake.
😂😂😂😂😂
Tlaatlaah ukimsoma siku hizi unaona patterns.

Amelaza mshale kwa Kasi. Kuna kitu ameona. Amekuwa mtu wa vicoment vifupi "ok" "sawa"

Alipofikia sasa hivi hata umtie kidole jichoni atakuomba samahani yeye. Amechoka sana. Ni kama anajiona mjinga kwa kutetea kwa nguvu maujinga ya sisiem alafu akikumbuka hilo dude limemnyamkua VP kama amwewe na hakuna mtu ametikisa mkia huko sisiem anaogopa sana!!

R.I.P in advance.
 
Back
Top Bottom