OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ha ha we jamaa una historia ya kukimbia nyuzi zako wewe subiri uone mtavyoloa.Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.
Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.
Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Kwa hiyo umekuja na matokeoHa ha we jamaa una historia ya kukimbia nyuzi zako wewe subiri uone mtavyoloa.
Rudi kwenye uzi wa Kibu na Mayele.Kwa hiyo umekuja na matokeo
Atajikuta anajinyea tu uwanjani.Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.
Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.
Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Hamna iko wazi mnyama lazima alambishwe mchanga bado saa kadhaa utaelewa mkuuKwa hiyo umekuja na matokeo
Sasa hapo ndiyo umenyamaza?? Utopolo sijui mkoje!!Mashabiki wa simba bhana! Ngoja tu ninyamaze.
yanga inacheza kitimu sio kwa kumtegemea mchezaji na ari ya wachezaji wa yanga ni kubwa mno chini usukani wa kocha makini nabiJean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.
Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.
Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Dube anawatamanigi awatafune kama ndafuJean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.
Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.
Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Safari hii atawafunga nyie makolo Cc ephen_Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.
Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.
Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Ndioameshatangazwa kuja yanga..??