Jean Baleke atamani kuinywa Yanga mchuzi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.

Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.

Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
 
Hahahahhaha sawa boss mooooo kigawakuta hiki👇
 
Attachments

  • 1657106080903.jpg
    1657106080903.jpg
    105.9 KB · Views: 9
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.

Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.

Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Ha ha we jamaa una historia ya kukimbia nyuzi zako wewe subiri uone mtavyoloa.
 
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.

Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.

Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Atajikuta anajinyea tu uwanjani.
 
Dk ya 4 simba kona 39 ,uto lazima waoneshe mzigo wameuficha wapi.Unakamatwa na bangi na bado unampiga makofi polisi?!
 
Yani Yanga ifungwe na mchezahi wa mkopo...nenda kajifunze kwanza maana ya mchezaji wa mkopo [emoji23][emoji23]
 
Huyu Jean Baleke ni David Trezeguet mtupu ana balaa sana huyu..
 
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.

Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.

Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
yanga inacheza kitimu sio kwa kumtegemea mchezaji na ari ya wachezaji wa yanga ni kubwa mno chini usukani wa kocha makini nabi
 
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.

Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.

Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Dube anawatamanigi awatafune kama ndafu
 
Mechi dhidi ya Yanga, hola! Mechi na Namungo, hola! Leo kwenye mechi na Azam, ameruka ruka weeh uwanjani! Mwisho wa siku kocha akaona bora atoke tu. Maana hakuwa na mchango wowote ule.
 
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.

Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.

Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1
Safari hii atawafunga nyie makolo Cc ephen_
 
Back
Top Bottom