OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jean Baleke (kulia) akifanya yake.
STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi.
Baleke amejiunga na Simba kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu, ambapo tayari amefunga mabao 7 katika Ligi Kuu Bara, akimkimbiza kinara Fiston Mayele mwenye mabao 16.
Jumapili ya wiki hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa mzunguko wa kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1