momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Paragraph ya mwisho ungeibold kabisa. Baleke hataki kuchezea Simba Hilo liko Wazi.Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua.
Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi, Kufokafoka, Kugombana na Wachezaji wa Al Ahly FC na kuwa na Jazba za Kishamba ambazo zilikuwa hazina Msaada kwa Simba SC yetu?
Kiufundi Kitendo cha Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na aina ile ya Mzozo usio na Faida kuliwafanya kila mara Wachezaji wa Simba SC wapoteze Concentration na muda mwingi kuja Kumuamulia na hata hali ilipotulia na Mchezo kuendelea walikuwa bado hawajajipanga vizuri na Wachezaji wazoefu wa Klabu Kubwa ya Al Ahly FC walipoliona hilo wakalitumia kwa kufanya Counter ya haraka ( huku Wachezaji wa Simba SC bado wakiwa na Furaha ya Goli lao la Pili la Sadio Kanoute ) na Upuuzi aliokuwa akiufanya Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na Mzozo usiokuwa wa lazima na Mwamuzi na Wachezaji wa Al Ahly FC na Kutufunga Goli ambalo limeniuma mno GENTAMYCINE kwani tungekuwa na Umakini lisingerudi / lisingefungwa kwa Interval ndogo ile.
Nadhani Baleke ana Shida Binafsi inayomsumbua au hataki Kuichezea Simba SC hivyo atafutiwe Mtaalam wa Saikolojia ( Psychiatrist ) amsaidie haraka au Uongozi wa Simba SC uongee nae na ikibidi tuachane nae tu kwani bado sijaona Tija yake zaidi ya Kuniboa / Kutuboa tu wana Simba SC.
Si kweli, angalia style aliyoingia nayo kumkaba mwenzake. Ni dhahiri alikuwa na lengo la kuhatarisha usalama wa mwenzake na adhabu yake ni Kadi ya njano. Labda useme hasira zilitokana na kuwekwa benchi lakini siyo Ile foul.Alikuwa analalamika kuonewa hakumgusa yule mchezaji.Ni kweli pale refa alifanya maamuzi ya hovyo na wachezaji walitoka mchezoni wakashtukizwa
Nadhani Bingwa umeshindwa kung'amua jambo katika ili.Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua.
Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi, Kufokafoka, Kugombana na Wachezaji wa Al Ahly FC na kuwa na Jazba za Kishamba ambazo zilikuwa hazina Msaada kwa Simba SC yetu?
Kiufundi Kitendo cha Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na aina ile ya Mzozo usio na Faida kuliwafanya kila mara Wachezaji wa Simba SC wapoteze Concentration na muda mwingi kuja Kumuamulia na hata hali ilipotulia na Mchezo kuendelea walikuwa bado hawajajipanga vizuri na Wachezaji wazoefu wa Klabu Kubwa ya Al Ahly FC walipoliona hilo wakalitumia kwa kufanya Counter ya haraka ( huku Wachezaji wa Simba SC bado wakiwa na Furaha ya Goli lao la Pili la Sadio Kanoute ) na Upuuzi aliokuwa akiufanya Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na Mzozo usiokuwa wa lazima na Mwamuzi na Wachezaji wa Al Ahly FC na Kutufunga Goli ambalo limeniuma mno GENTAMYCINE kwani tungekuwa na Umakini lisingerudi / lisingefungwa kwa Interval ndogo ile.
Nadhani Baleke ana Shida Binafsi inayomsumbua au hataki Kuichezea Simba SC hivyo atafutiwe Mtaalam wa Saikolojia ( Psychiatrist ) amsaidie haraka au Uongozi wa Simba SC uongee nae na ikibidi tuachane nae tu kwani bado sijaona Tija yake zaidi ya Kuniboa / Kutuboa tu wana Simba SC.
Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi Moron and Bipolar Case Mmoja Wewe?Simba mtajeuzwa Kama chapati Hadi uache matusi na ujuaji mtaishia robo robo
BULE=BUREKwa sisi tunaojua Mpira mwenzenu Alikuwa anacontrol Temper ya Mchezo.
Wachezaji wa Timu yake walikuwa wanachoka
1. Alikuwa anawapa Pumzi kwa Kuzozana na mwamuzi na mwamuzi akasimamisha mchezo kwa Dakika kadhaa.
2. Alikuwa anawaonyesha kwamba hapa tupo nyumbani tunauhuru wa kudai Haki zetu bila Kubugudhiwa.
NATOA SHULE YA BULE.
Mmehamia wewe na nani?[emoji28][emoji28][emoji28] tumehamia kwa Baleke sio kocha Tena!! Ashukuliwe mganga wenu hakika zilikuwa hamsa hamsa[emoji125]
Sio BULE ni BUREKwa sisi tunaojua Mpira mwenzenu Alikuwa anacontrol Temper ya Mchezo.
Wachezaji wa Timu yake walikuwa wanachoka
1. Alikuwa anawapa Pumzi kwa Kuzozana na mwamuzi na mwamuzi akasimamisha mchezo kwa Dakika kadhaa.
2. Alikuwa anawaonyesha kwamba hapa tupo nyumbani tunauhuru wa kudai Haki zetu bila Kubugudhiwa.
NATOA SHULE YA BULE.
Yan pale makolo ndio walimaliza kila kitu waganga kama 2000 na kunyunyizia changing room ndio maana half ya pili waarabu kuna muda walikua kama mazezetaShukrani zenu za wiki mzielekeze kwa mganga wenu amefanya kazi kubwa sana kupunguza idadi ya magoli, kipindi Cha kwanza kilikuwa kinaisha kwa goli 3 bila majibu, na Cha pili goli 2 zingekuwa jumla tano, kaupiga mwingi, Sasa msije mkasahau kwenda nae Misri maana mtakuwa mmefanya kazi bure na ushindi amjapata, bila uyo kule mnaenda kuaibika!
Hili jambo lishakuwa sugu hata kwenye ligi kuu muamuzi kuzongwa na kusukumwa ishakuwa kawaidaI don't know mnaoleta HUO utetezi sijui alikuwa ana control temper ya mchezo NONSENSE tu hivi LICHEZAJI lina mahasira yake huko kwa kushindwa kupafom vyema na kuonyesha LACK OF PATIENCE katika game mnaanza mtetea eti game plan ya kucontrol temper?? Insanity at its best.
Yule Ashakuwa bwege tu Aondoke msimbazi apo!!!