momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Nilifikiri ni mimi pekee nilioliona lile, binafsi nilishangazwa sana na zile tafrani ambazo hazikua na kichwa wala miguu, ikapelekea wachezaji kupaniki na kupoteza umakini wa kukaba kwenye nafasi.