Jean Othos Baleke angeacha ule Upumbavu wake ambao Uliwatoa kwa muda Wachezaji Mchezoni Al Ahly FC wasingepata lile Goli lao la Pili

Nilifikiri ni mimi pekee nilioliona lile, binafsi nilishangazwa sana na zile tafrani ambazo hazikua na kichwa wala miguu, ikapelekea wachezaji kupaniki na kupoteza umakini wa kukaba kwenye nafasi.
 
Kuna muda unaweza waza kuwa Hawa ni Aina ya wachezaji wanauza mechi kwa timu pinzan.
Baleke amekua mtu mjinga mjinga na mjuaji Sana
Kuna tukio lingine la kumvuta Kibu akiwa anashangilia sikuona maana ya kumvuta mchezaj mwenzake wakati anashangilia na Mara nyingi anamfanyia hivo hivo Kibu denga .
Ifike muda Kibu aje ampe hata kiwiko Cha maana ashamzoea Sana.
Dunian kote mchezaj akifunga Goli huwa lazima ashangilie kulingana na vibe iliopo huo muda.

Swala la kulalamika nadhan huyu jamaa ashajiona yeye ni mkubwa Sana kias kwamba hawez guswa na wachezaj wengine wa timu pinzan ,Sasa naanza kuelewa kwann Kocha anamwanzisha benchi ,ni mtu mjivun Sana huyo Baleke
 
Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua.

Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi, Kufokafoka, Kugombana na Wachezaji wa Al Ahly FC na kuwa na Jazba za Kishamba ambazo zilikuwa hazina Msaada kwa Simba SC yetu?

Kiufundi Kitendo cha Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na aina ile ya Mzozo usio na Faida kuliwafanya kila mara Wachezaji wa Simba SC wapoteze Concentration na muda mwingi kuja Kumuamulia na hata hali ilipotulia na Mchezo kuendelea walikuwa bado hawajajipanga vizuri na Wachezaji wazoefu wa Klabu Kubwa ya Al Ahly FC walipoliona hilo wakalitumia kwa kufanya Counter ya haraka ( huku Wachezaji wa Simba SC bado wakiwa na Furaha ya Goli lao la Pili la Sadio Kanoute ) na Upuuzi aliokuwa akiufanya Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na Mzozo usiokuwa wa lazima na Mwamuzi na Wachezaji wa Al Ahly FC na Kutufunga Goli ambalo limeniuma mno GENTAMYCINE kwani tungekuwa na Umakini lisingerudi / lisingefungwa kwa Interval ndogo ile.

Nadhani Baleke ana Shida Binafsi inayomsumbua au hataki Kuichezea Simba SC hivyo atafutiwe Mtaalam wa Saikolojia ( Psychiatrist ) amsaidie haraka au Uongozi wa Simba SC uongee nae na ikibidi tuachane nae tu kwani bado sijaona Tija yake zaidi ya Kuniboa / Kutuboa tu wana Simba SC.
Paragraph ya mwisho ungeibold kabisa. Baleke hataki kuchezea Simba Hilo liko Wazi.
 
Alikuwa analalamika kuonewa hakumgusa yule mchezaji.Ni kweli pale refa alifanya maamuzi ya hovyo na wachezaji walitoka mchezoni wakashtukizwa
Si kweli, angalia style aliyoingia nayo kumkaba mwenzake. Ni dhahiri alikuwa na lengo la kuhatarisha usalama wa mwenzake na adhabu yake ni Kadi ya njano. Labda useme hasira zilitokana na kuwekwa benchi lakini siyo Ile foul.
 
Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua.

Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi, Kufokafoka, Kugombana na Wachezaji wa Al Ahly FC na kuwa na Jazba za Kishamba ambazo zilikuwa hazina Msaada kwa Simba SC yetu?

Kiufundi Kitendo cha Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na aina ile ya Mzozo usio na Faida kuliwafanya kila mara Wachezaji wa Simba SC wapoteze Concentration na muda mwingi kuja Kumuamulia na hata hali ilipotulia na Mchezo kuendelea walikuwa bado hawajajipanga vizuri na Wachezaji wazoefu wa Klabu Kubwa ya Al Ahly FC walipoliona hilo wakalitumia kwa kufanya Counter ya haraka ( huku Wachezaji wa Simba SC bado wakiwa na Furaha ya Goli lao la Pili la Sadio Kanoute ) na Upuuzi aliokuwa akiufanya Mshambuliaji Jean Baleke kuwa na Mzozo usiokuwa wa lazima na Mwamuzi na Wachezaji wa Al Ahly FC na Kutufunga Goli ambalo limeniuma mno GENTAMYCINE kwani tungekuwa na Umakini lisingerudi / lisingefungwa kwa Interval ndogo ile.

Nadhani Baleke ana Shida Binafsi inayomsumbua au hataki Kuichezea Simba SC hivyo atafutiwe Mtaalam wa Saikolojia ( Psychiatrist ) amsaidie haraka au Uongozi wa Simba SC uongee nae na ikibidi tuachane nae tu kwani bado sijaona Tija yake zaidi ya Kuniboa / Kutuboa tu wana Simba SC.
Nadhani Bingwa umeshindwa kung'amua jambo katika ili.
Jamaa walichungulia na kubaini kuwa angewadhuru kupelekea kufanyiwa jambo kubwa.
Mm niliona Baleke na Konde boy ndio ambao walipaswa kufunga magoli na yasingerudi.
Kwakuliona ilo jamaa wakafanya yao
 
Simba mtajeuzwa Kama chapati Hadi uache matusi na ujuaji mtaishia robo robo
 
Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi Moron and Bipolar Case Mmoja Wewe?
 
Kwa sisi tunaojua Mpira mwenzenu Alikuwa anacontrol Temper ya Mchezo.

Wachezaji wa Timu yake walikuwa wanachoka
1. Alikuwa anawapa Pumzi kwa Kuzozana na mwamuzi na mwamuzi akasimamisha mchezo kwa Dakika kadhaa.

2. Alikuwa anawaonyesha kwamba hapa tupo nyumbani tunauhuru wa kudai Haki zetu bila Kubugudhiwa.

NATOA SHULE YA BULE.
 
BULE=BURE
 
[emoji28][emoji28][emoji28] tumehamia kwa Baleke sio kocha Tena!! Ashukuliwe mganga wenu hakika zilikuwa hamsa hamsa[emoji125]
Mmehamia wewe na nani?
Huyo anayeongea ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
 
Huyu jamaa kila kitu anajifanya anajua. Pamoja na ukweli kwamba Baleke aliovereact lakini hii technique hutumiwa sana kwa wachezaji wenzake kujipanga. So sio kosa lake goli kufungwa wenzake hasa kupoteza umakini
 
Kwa sisi tunaojua Mpira mwenzenu Alikuwa anacontrol Temper ya Mchezo.

Wachezaji wa Timu yake walikuwa wanachoka
1. Alikuwa anawapa Pumzi kwa Kuzozana na mwamuzi na mwamuzi akasimamisha mchezo kwa Dakika kadhaa.

2. Alikuwa anawaonyesha kwamba hapa tupo nyumbani tunauhuru wa kudai Haki zetu bila Kubugudhiwa.

NATOA SHULE YA BULE.
Sio BULE ni BURE
 
Shukrani zenu za wiki mzielekeze kwa mganga wenu amefanya kazi kubwa sana kupunguza idadi ya magoli, kipindi Cha kwanza kilikuwa kinaisha kwa goli 3 bila majibu, na Cha pili goli 2 zingekuwa jumla tano, kaupiga mwingi, Sasa msije mkasahau kwenda nae Misri maana mtakuwa mmefanya kazi bure na ushindi amjapata, bila uyo kule mnaenda kuaibika!
Yan pale makolo ndio walimaliza kila kitu waganga kama 2000 na kunyunyizia changing room ndio maana half ya pili waarabu kuna muda walikua kama mazezeta
 
I don't know mnaoleta HUO utetezi sijui alikuwa ana control temper ya mchezo NONSENSE tu hivi LICHEZAJI lina mahasira yake huko kwa kushindwa kupafom vyema na kuonyesha LACK OF PATIENCE katika game mnaanza mtetea eti game plan ya kucontrol temper?? Insanity at its best.

Yule Ashakuwa bwege tu Aondoke msimbazi apo!!!
 
Hili jambo lishakuwa sugu hata kwenye ligi kuu muamuzi kuzongwa na kusukumwa ishakuwa kawaida

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom