TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

Kwa mamlaka niliyopewa natangaza rasmi kufuta kifo cha Jecha. Kifo hicho kitarudiwa kesho asubuhi maana kimegubikwa na udanganyifu mkubwa. Pia upo ushahidi kuwa marehemu hakutumbua macho wakati anakufa na hivyo kwenda kinyume na sheria ya vifo kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Mwanzo.
 
Wasalaam,

Acha Mungu aitwe Mungu yule fedhuli mpindua meza matokeo ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha nae Sir God Kampindua, huyo ndio Mungu sasa hamna Cha kibwengo, tumbili ama ngedere atabaki salama.

Sir God ni Mwamba Kampindua mpindua meza, ndio basi tena Jecha Salim Jecha atafunikwa na Dongo la futi 6 Leo.

Leo ni siku ya furaha Kwa wenye majonzi tulioumiziwa ndugu zetu na huyu fedhuli na dubwana Jecha.

Shukrani Sir God πŸ™πŸ™πŸ™

Wabillah Tawfiq

Wadiz
 
Mnamuonea tu Jecha. Tatizo ni Kikwete na Mkapa. Kikwete alihairisha hadi Safari navkuwahi Zanzibar pamoja na Mkapa. Na kumuonya Jecha asitangaze. Dkt Sheni alishakubali kumkabidhi maalim lakini mkapa na Kikwete wakamuambia haiwezekani aache upuz.

Ni Kikwete na Mkapa ndo walifuta hule uchaguz.
 
"Umri wa binadamu ni miaka 70..." Mlitaka aishi miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…