Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mamlaka niliyopewa natangaza rasmi kufuta kifo cha Jecha. Kifo hicho kitarudiwa kesho asubuhi maana kimegubikwa na udanganyifu mkubwa. Pia upo ushahidi kuwa marehemu hakutumbua macho wakati anakufa na hivyo kwenda kinyume na sheria ya vifo kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Mwanzo.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko.
Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar. Zaidi soma Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu
Aprili 17, 2018 Salim Jecha Salim aling'atuka rasmi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) baada ya kuhudumu katika nafasi hiyo kuanzia Mei 4, 2013. Zaidi soma Hatimaye 'mtemi' Jecha Salim Jecha ang'atuka
Mwaka 2020, Jecha Salim Jecha alichukua fomu ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM), jambo ambalo lilizua utata ukizingatia mwaka 2015 alikuwa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar yenye dhamana ya kusimamia chaguzi zote kisiwani humo. Zaidi soma Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar
Mola amsamehe makosa yake alipoteleza.
View attachment 2691725
Picha maarufu ya Jecha Salim Jecha enzi za uhai wake
Habari zime🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania isiyo haki bora iondokeAlituepusha na Mengi Kama Taifa.
Sijui Kama angeacha vile , Tanzania ingekuwepo.?
"Umri wa binadamu ni miaka 70..." Mlitaka aishi miaka mingapi?Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko.
Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar. Zaidi soma Tume y
Aprili 17, 2018 Salim Jecha Salim aling'atuka rasmi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) baada ya kuhudumu katika nafasi hiyo kuanzia Mei 4, 2013. Za
Tena mwenzake alishakuwa mwenyeji hukoWatawala hukisahau Kifo
Sasa uso kwa uso na maalim Seif!
Amepata haki akeAmeshindwa kabisa kufuta kifo jamani