TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Matendo yake yamfuate, kama alifuta uchguzi ama uchaguzi ulijifuta, ajuaye kama ni mema ama la ni Mungu pekee!
Matendo yake ya 2015 yamfuate:
 
ANGEKIFUTA KIFO KAMA ALIVYOFUTA UCHAGUZI
 
hata yule malaika mkuu wa kule kitovuni chattle na yeye alitambaa, mchana kweupeeeee .MUNGU hadhihakiwi hata siku moja. alazwe anapostahili.
 
Malipo ni hapahapa.....
haya sasa aende akakutane na yule aliemfutia ushindi kwenye uchaguzi.....

Maalum Seif....yuko paleee anamsubiri KWA hamu! Alishamwandalia makao!
 
Apumzike anapostahili kutokana na maandalizi aliyojiwekea akiwa hai
 

Mzee Jecha akiwa na mamlaka ya kusimamia na kutangaza maamuzi ya Wananchi juu ya ni watu gani washike mamlaka ya nchi, alishindwa kuifanya kazi hiyo na akatumia nafasi yake vibaya kwa kufanya vile ilivyompendeza yeye.

Kama haitoshi, Mzee Jecha katika uchaguzi uliopita katika hali ya kuwakejeli wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, alichukuwa fomu na kuomba kugombea Urais wa Zanzibar kwa mwavuli wa CCM. Hii ilikuwa ni kejeli isiyo kifani kwa Katiba na misingi ya utawala bora.

Nguvu na Kiburi vina mwisho, tuutengeneze mwisho mwema.
 
Mungu amrehemu....Rip Jecha
 
Mzee Jecha akiwa na mamlaka ya kusimamia na kutangaza maamuzi ya Wananchi juu ya ni watu gani washike mamlaka ya nchi, alishindwa kuifanya kazi hiyo na akatumia nafasi yake vibaya kwa kufanya vile ilivyompendeza yeye.
Unamlaumu tu bure, yeye binafsi asingeweza kufanya vile bila kushurutishwa/kuagizwa na wenye nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…