EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
washashindaKwani Yanga wanashinda leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
washashindaKwani Yanga wanashinda leo?
Nawe umeandika hivi?Tukisema Tanzania kuna waganga mchoko Hakuna wachambuzi tunaambiwa tuna chuki na kazi za watu. Huyu ni miongoni mwa Makanjanja Wenye visemeo.
Nikumbushe Utabiri wako MkuuYale yale ambayo nilitabiri
Nilisema ikitokea imeenda tofauti mtarudi kuja kumchamba GeafNikumbushe Utabiri wako Mkuu
Safari hii mjumbe lazima auwawe, maana mtazowea..!! Hivi wewe ni teko au tako?Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Sizungumzii hilo. Tulichokuwa tunabishania mimi na wewe jana ni kipi?Nilisema ikitokea imeenda tofauti mtarudi kuja kumchamba Geaf
Mabishano yetu yalikuwa kuhusu kuwahadaa wachambuzi kutokana na perception zaoSizungumzii hilo. Tulichokuwa tunabishania mimi na wewe jana ni kipi?
washashinda
Hilo pepo sijui lina hali gani hukoo
Wabongo wengi leo watakuwa wamelia sana kwenye kubetiAwarudishie hela zao waliombetia marumo
sio kweli labda kaanza kubet leoWabongo wengi leo watakuwa wamelia sana kwenye kubeti