Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.

Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Safari hii mjumbe lazima auwawe, maana mtazowea..!! Hivi wewe ni teko au tako?
 
Back
Top Bottom