Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA
MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional transfer) uliohusisha AS MANIEMA UNION FC ya Congo, YOUNG AFRICANS SC ya Tanzania's a PYRAMIDS FC ya Misri.
Kauli hi inathibitisha usemi wa kwamba Mayele alikuwa Yanga kwa MKOPO ndiyo maana usajili wake umehusisha pia klabu yake mama ya AS Maniema Union FC a Young Africans (Yanga) vinginevyo kama asingekuwa Yanga kwa mkopo basi usajili ungefanyika kati ya Yanga na Pyramids FC tu.
Kwa maana hiyo basi hata pesa aliyosajiliwa nayo huko Pyramids FC imeenda kwa AS Maniema Union FC a Young Africans SC (Yanga). Tukisema huwa tuna maanisha na tunakuwa na vyanzo sahihi, hakuna chuki ila nia ni kuwekana sawa na kujenga tu.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
===
Baada ya sakata nyingi sana ambazo amekua akizivalia njuga kuliko timu yoyote leo nimeona bonge la kituko kutoka kwake. Anasema kwa kunukuu kutoka chanzo fulani kwamba As Maniema wamepata fungu kwenye mauzo ya mayele kwenda pyramids. Lakini je tuseme hicho kinaweza kua kigezo cha kusema mayele alikua yanga kwa mkopo? Ni jambo ambalo ni wazi kwamba chuki na misimamo isiyo na maana inamfanya apambane kuprove mawazo yake.
Mfano mzuri tu samata kwenye mauzo yote ya kwenda ulaya, simba wanafaidika je ndo tuseme Samata anaenda hizo timu kwa mkopo?
Mbona hili halihitaji hata akili ya uwakala? Na wachezaji wanaomwamini jamaa hivi wanatumia vigezo gani? Hivi wanajielewa kweli? Au wanaelewa akili ya huyu jamaa kweli?