CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
KWELI WENYE AKILI NI WAWILI.
Kwa akili zenu hizi MANARA Alikuwa sahihi sana.............
Kwa akili zenu hizi MANARA Alikuwa sahihi sana.............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe punguani unapenda ligi za ki ImanYANI UNAISHI NA MTUME BADO TU HUJAMSHTUKIA!!!!!????
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
SATANIC VERCE.
Watalamu gani? FCC?Hili jambo limeelezwa wazi sana na wataalamu yanga kachukua 40s%ya mauzo ya Mayele fuatilieni vizuri hili jambo wekeni mihemko pembeni
Unamsikiliza mtu failure ?Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA
MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional transfer) uliohusisha AS MANIEMA UNION FC ya Congo, YOUNG AFRICANS SC ya Tanzania's a PYRAMIDS FC ya Misri.
Kauli hi inathibitisha usemi wa kwamba Mayele alikuwa Yanga kwa MKOPO ndiyo maana usajili wake umehusisha pia klabu yake mama ya AS Maniema Union FC a Young Africans (Yanga) vinginevyo kama asingekuwa Yanga kwa mkopo basi usajili ungefanyika kati ya Yanga na Pyramids FC tu.
Kwa maana hiyo basi hata pesa aliyosajiliwa nayo huko Pyramids FC imeenda kwa AS Maniema Union FC a Young Africans SC (Yanga). Tukisema huwa tuna maanisha na tunakuwa na vyanzo sahihi, hakuna chuki ila nia ni kuwekana sawa na kujenga tu.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
===
Baada ya sakata nyingi sana ambazo amekua akizivalia njuga kuliko timu yoyote leo nimeona bonge la kituko kutoka kwake. Anasema kwa kunukuu kutoka chanzo fulani kwamba As Maniema wamepata fungu kwenye mauzo ya mayele kwenda pyramids. Lakini je tuseme hicho kinaweza kua kigezo cha kusema mayele alikua yanga kwa mkopo? Ni jambo ambalo ni wazi kwamba chuki na misimamo isiyo na maana inamfanya apambane kuprove mawazo yake.
Mfano mzuri tu samata kwenye mauzo yote ya kwenda ulaya, simba wanafaidika je ndo tuseme Samata anaenda hizo timu kwa mkopo?
Mbona hili halihitaji hata akili ya uwakala? Na wachezaji wanaomwamini jamaa hivi wanatumia vigezo gani? Hivi wanajielewa kweli? Au wanaelewa akili ya huyu jamaa kweli?
Fuatilia mkuu
Kama ndio hivyo Naymer alikiwa Santos kwa mkopo,akaenda Barca kwa mkopo, Tevez nae alikuwa Man Utd kwa mkopo, City kwa mkopo. Unaweza ukakuta Mayele kaenda Pyramid na still kama Mayele akiuzwa tena Maniema akawa na asilimia zake.Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA
MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional transfer) uliohusisha AS MANIEMA UNION FC ya Congo, YOUNG AFRICANS SC ya Tanzania's a PYRAMIDS FC ya Misri.
Kauli hi inathibitisha usemi wa kwamba Mayele alikuwa Yanga kwa MKOPO ndiyo maana usajili wake umehusisha pia klabu yake mama ya AS Maniema Union FC a Young Africans (Yanga) vinginevyo kama asingekuwa Yanga kwa mkopo basi usajili ungefanyika kati ya Yanga na Pyramids FC tu.
Kwa maana hiyo basi hata pesa aliyosajiliwa nayo huko Pyramids FC imeenda kwa AS Maniema Union FC a Young Africans SC (Yanga). Tukisema huwa tuna maanisha na tunakuwa na vyanzo sahihi, hakuna chuki ila nia ni kuwekana sawa na kujenga tu.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
===
Baada ya sakata nyingi sana ambazo amekua akizivalia njuga kuliko timu yoyote leo nimeona bonge la kituko kutoka kwake. Anasema kwa kunukuu kutoka chanzo fulani kwamba As Maniema wamepata fungu kwenye mauzo ya mayele kwenda pyramids. Lakini je tuseme hicho kinaweza kua kigezo cha kusema mayele alikua yanga kwa mkopo? Ni jambo ambalo ni wazi kwamba chuki na misimamo isiyo na maana inamfanya apambane kuprove mawazo yake.
Mfano mzuri tu samata kwenye mauzo yote ya kwenda ulaya, simba wanafaidika je ndo tuseme Samata anaenda hizo timu kwa mkopo?
Mbona hili halihitaji hata akili ya uwakala? Na wachezaji wanaomwamini jamaa hivi wanatumia vigezo gani? Hivi wanajielewa kweli? Au wanaelewa akili ya huyu jamaa kweli?
Fuatilia mkuu
Hio hapo ni interview ya Mayele kuhusu hili swala yaani niache kumsikiliza mhusika nikasikilize wachambuzi!
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Chiko Ushindi na Kisinda walikua kwa mkopo ilikua siri? let's say unacho ongea wewe ni sahihi hao Maniema wangeona hio interview ingekuaje? basi tuletee reference ya huo mkopo hapa na mwisho kwanini Pyramid hawakwenda Maniema?Ulitegemea asemaje on camera?
Swali Mkopo wa Mayele kwa yanga ulitoka mamiema fc?Chiko Ushindi na Kisinda walikua kwa mkopo ilikua siri? let's say unacho ongea wewe ni sahihi hao Maniema wangeona hio interview ingekuaje? basi tuletee reference ya huo mkopo hapa na mwisho kwanini Pyramid hawakwenda Maniema?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mbumbumbu kama mbumbumbu,mumeo kaoa mayala wa bar bila kujuaYANI UNAISHI NA MTUME BADO TU HUJAMSHTUKIA!!!!!????
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
SATANIC VERCE.
Einstein gani ambaye huna akili kwanini unajipa jina ambalo huwezi kulibeba?umepewa mifano ya samatta, Halaand bado huelewiSwali Mkopo wa Mayele kwa yanga ulitoka mamiema fc?
Kwanini wamwibuka mwishoni kama hawahusiki endelea kujiuliza mwisho tutafika hitimisho
Tatizo umepumbazwa na mahaba huwezi ona mbele, unajua timu iliyomleta yanga kwa.mkopo alikuwa kwao kwa mkopo pia?Einstein gani ambaye huna akili kwanini unajipa jina ambalo huwezi kulibeba?umepewa mifano ya samatta, Halaand bado huelewi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kula madini 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻Einstein gani ambaye huna akili kwanini unajipa jina ambalo huwezi kulibeba?umepewa mifano ya samatta, Halaand bado huelewi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sikiliza nikwambie Einstein uise na akili mchezaji hawezi kuwa miliki ya timu asie kua nayo, t hayo maelezo mengi kaa nayo ni ujinga tu, sasa hivi mmiliki wa Mayele ni PyramidKula madini [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
```MMILIKI HALALI WA FISTON MAYELE
Timu ya Jeunesse Sportive Likasi ya DRC Congo ndio inayommiliki Mchezaji Fiston Kalala Mayele kwa taarifa za hizi Documents hapa ni kuwa Mchezaji huyo alipelekwa kwa Mkopo Toka Timu hiyo kwenda As Vita chini ya Rais wa Wakati huo General Amis Gabriel Tango.
Wakati Yanga wanamtaka Mayele toka As Vita ndipo ikatengenezwa Mkataba mwingine ambao ni feki chini ya General Amis Gabriel Tango ambae pia ndio mmiliki wa Mayele aliejificha sababu Kanuni za Soka hazikubaliani na Mtu kumiliki mchezaji hivyo Mkataba ukatengenezwa kuwa Mchezaji ni wa Maniema FC ambayo Amis Gabriel Tango pia ni muhusika na mahusianoa na Maniema FC hii yote ni kuifanya As Vita imtoe Mayele kwa Mkopo bila ya Timu halisi Kujua yaani Likasi hapa As Vita na Yanga wametengeneza nyaraka feki.
Barua za uthibitisho hizo hapo za Toka Likasi kwenda As Vita kwa Mkopo wa Mpaka 02 Julai 2023 ndio mkopo unapoisha na Mchezaji anabaki ni Mali ya Timu ya Jeunesse Sportive Likasi.
Timu ya Likasi imekuwa ikikumbusha kila mara kwa mamlaka zote za soka na Timu zote kuwa wao ndio wameliki halali na mwisho sasa Mchezaji Fiston Mayele Kauzwa sasa Wamekuja kutaka haki za mchezaji wao maana mkopo umeshaisha.
Wametoa Taarifa kuwa kuanzia sasa Mchezaji Fiston Kalala Mayele yupo chini ya Mamlaka yao na kama kuna tinu inataka kumuhitaji basi wao ndio wana haki zote, wamepeleka mashtaka mbele ya Shirikisho la DRC na kuweka Vithibitisho hivyo hapo ingawa vipo kwa lugha ya Kifaransa ila kila Sehemu wamepewa Nakala.
Kwa Uelewa tu ni kuwa Mayele yupo Yanga kwa Mkopo ulitokana na Mkopo ambao umeshaisha sasa hivyo Hata wakimuuza Fedha nyingi itaenda kwa Wamiliki wao Yanga watapata Kiduchu tu maana Mchezaji ameuzwa baada ya Mkataba kwisha pia ila pia hawana umiliki halali bali walikuwa nae kwa mkopo na kwa nyaraka zisizo halali.
Hawa ndio Wachezaji wa Kicongo walivyo wengi wanamilikiwa na Watu hasa wanaotokea nchini kwao Ugopa sana bora waliotoka nje muda sio hawa ndio kwanza wanatoka lazima nyuma ana mtu Mwamba, Tatizo kubwa sio Yanga kumkosa Mayele bali pia Yanga kupata sehemu ndogo ya fedha za mauzo hii ndio Viongozi wameanza Kampeni kwa Chawa wao kuwa Bora aondoke Ofa ni kubwa sana Yanga itaingiza fedha kuficha ukweli wamesahau ya Tuisila Kisinda hakuna fedha iliyoingia Yanga wakati ule na haijaonyeshwa hata kwenye vitabu vya hesabu kwenye bajeti sasa mengine ndio haya mapya Watu wamefuata mtu wao katika ngazi za mamlaka hii ngoma Wacongo wanajua sana kuzicheza na wote wapo Kitu kimoja.
KUMBE SIO WETU HII NIMELIA SANA
Sawa kawaulize keshokutwa kwenye mkutano mkuu wakuoneshe mapato na mtumizi ya fedha ya Mayele ndio utaelewaSikiliza nikwambie Einstein uise na akili mchezaji hawezi kuwa miliki ya timu asie kua nayo, t hayo maelezo mengi kaa nayo ni ujinga tu, sasa hivi mmiliki wa Mayele ni Pyramid
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama vitu ambavyo vipo wazi naongea mhusika kwa Kiswahili hamtaki kuelewa mkutano utabadili nini?Sawa kawaulize keshokutwa kwenye mkutano mkuu wakuoneshe mapato na mtumizi ya fedha ya Mayele ndio utaelewa
Hivi ukifumaniwa kukapakwa mafuta gest tukikuuliza huku nje baada ya siku2 utatuambia kilichotokea 😀😀😀😀Kama vitu ambavyo vipo wazi naongea mhusika kwa Kiswahili hamtaki kuelewa mkutano utabadili nini?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app