Jemedari Said ana kisasi cha hovyo sana dhidi ya Yanga

Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA

MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional transfer) uliohusisha AS MANIEMA UNION FC ya Congo, YOUNG AFRICANS SC ya Tanzania's a PYRAMIDS FC ya Misri.

Kauli hi inathibitisha usemi wa kwamba Mayele alikuwa Yanga kwa MKOPO ndiyo maana usajili wake umehusisha pia klabu yake mama ya AS Maniema Union FC a Young Africans (Yanga) vinginevyo kama asingekuwa Yanga kwa mkopo basi usajili ungefanyika kati ya Yanga na Pyramids FC tu.

Kwa maana hiyo basi hata pesa aliyosajiliwa nayo huko Pyramids FC imeenda kwa AS Maniema Union FC a Young Africans SC (Yanga). Tukisema huwa tuna maanisha na tunakuwa na vyanzo sahihi, hakuna chuki ila nia ni kuwekana sawa na kujenga tu.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)

===

Baada ya sakata nyingi sana ambazo amekua akizivalia njuga kuliko timu yoyote leo nimeona bonge la kituko kutoka kwake. Anasema kwa kunukuu kutoka chanzo fulani kwamba As Maniema wamepata fungu kwenye mauzo ya mayele kwenda pyramids. Lakini je tuseme hicho kinaweza kua kigezo cha kusema mayele alikua yanga kwa mkopo? Ni jambo ambalo ni wazi kwamba chuki na misimamo isiyo na maana inamfanya apambane kuprove mawazo yake.

Mfano mzuri tu samata kwenye mauzo yote ya kwenda ulaya, simba wanafaidika je ndo tuseme Samata anaenda hizo timu kwa mkopo?

Mbona hili halihitaji hata akili ya uwakala? Na wachezaji wanaomwamini jamaa hivi wanatumia vigezo gani? Hivi wanajielewa kweli? Au wanaelewa akili ya huyu jamaa kweli?
Ile issue ya kunajisiwa ilimharibu akili Jemedari Said, kibaya zaidi aliye mnajisi yuko mtaani mpaka leo
 
ana njaa sana huyu
 
Wewe mleta uzi na hao wahusika, mbona mnayoyaandika hayana maana?
 
Mwambie Yanga ni kubwa kuchukia ni ujinga wake
Mchezaji kama mayele timu imtoe kwa mkopo
Sasa awe kwa mkopo asiwe kwa mkopo yeye anafaidika na lipi?
Ametolewa kwa mkopo jean scoringmachine baleke itakuwa fiston goalshy mayele?
 
YANI MTU UKITAKA MACHIZI SOKA YAKUCHUKIE KUWA MKWELI.

Yani we CHIZI soka unanichukia JEMEDARI.
 
Einstein gani ambaye huna akili kwanini unajipa jina ambalo huwezi kulibeba?umepewa mifano ya samatta, Halaand bado huelewi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kumbuka huyu ni yule Einstein wa Tanzania! Yaani Einstein mwenye pua pana kama ya bata! 😃 Na siyo ile pua ya kuchongoka!

Hivyo automatically lazima tu akili na pia IQ zao zitatofautiana.
 
Back
Top Bottom